Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Acha porojo mkuu!Ebu weka Aya za matini ya hayo maneno kama wewe siyo mzushi tujadili.
 
Kaka spensa_e: wewe ni Legend killer. I salute you!! Jeshi la mtu mmoja. Unajua sana dini ya uislamu na uzuri unatoa reference ndani ya kitabu chao. Unatisha.
Ebu onesha hizo reference azoziweka kwanye hiyo post yake kama hipo hata moja.
 
Allah mwenyewe anasema anatuma wenzake
19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
Ayubu 2:1-6

1Tena ilitukia siku moja hao wana wa Mungu walipokwenda kujiweka mbele za BWANA, Shetani naye akaenda kati yao, ili kujiweka mbele za BWANA. 2BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi? Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Natoka katika kuzungukazunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo.3 BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hakuna hata mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu; naye hata sasa anashikamana na utimilifu wake, ijapokuwa ulinichochea juu yake, ili nimwangamize pasipokuwa na sababu. 4Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Ngozi kwa ngozi, naam, yote aliyo nayo mtu atayatoa kwa ajili ya uhai wake. 5 Lakini sasa nyosha mkono wako, uuguse mfupa wake na nyama yake, naye atakukufuru mbele za uso wako. 6BWANA akamwambia Shetani, Tazama, yeye yumo mkononi mwako; lakini tunza tu uhai wake.

Njoo tena.
 
Hata Ibirisi Lusifer ni kiumbe kama wewe wala asikupe hofu.
Na aliumbwa ili amwabudu Mungu kama Binadamu na Majini.

Ila Majini ni ndugu zenu nyinyi Waislamu.
Sisi hatuna nasaba na Majini.
Marko 16:15-16
15Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. 16Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

Je,Jini ni kiumbe au siyo kiumbe?.
 
Marko 16:15-16
15Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. 16Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

Je,Jini ni kiumbe au siyo kiumbe?.
Hata Ibirisi, Shetani, Lusifer ni Kiumbe.
We jipange Tu ukamhubirie Injiri Ibirisi.
Kama alivyo wahubiria Majini, Fulcani Mtume WAKO Muhammadi.
Naona umekuwa mtetezi wa Majini.
Mimi nakupa hao Majini wote wawe Waislamu kama unavyopenda.
Basi ufurahi tu, Majini wamekuwa Waislamu kwa juhudi za mtume Muhammadi.
Tukutane Msikitini.
 
Nani amekwambia Issa amezaliwa Madina na kukulia Makka ?
 
Siyo Ibirisi sahihi ni Ibilisi.
 
Issa haijulikani alikiwepo lini ,koran inasema alikuwa mjomba ake musa
Hili tunalipata wapi katika Qur'aan ?
Wapi Qur'aan inasema nabii Issa alisulubiwa ?

Kitendo alichofanya Allah ni kumuokoa mja wake kutokamana na vitimbi vya watu waovu ambao ni Mayahudi. Akawafanyia mfano wao wakajua wamemsulubu Issa lakini haikuwa hivyo.

Sasa suala la cloning au kudanganywa linaingia wapi ?
 
Una uhakika Muhammad alijua kuandika?
 
Mathayo 7:21 SRUV

Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.

Sasa wewe endelea tu kupiga makofi na kukata mauno kanisani huku mapenzi ya Mungu umeyaacha.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa hiYo AlIoNa MtU MwiNGINE AFe , WaTu WAAMIni AlaFU AwALaANI KwA KuaMInI! NiChEka SAna
 
KWa hiyo mtu kafanana kila kitu na issa unataka kusema watu hawakumuona issa kasalubiwa? Waliona na wakashuhudia kabisa na wakaweka kumbukumbu walie muona ni issa kafa, baada ya miaka kama elfu 5 Allah akarudi na Muhammad wakasema ilikuwa ni clone ya issa
 
Unafananisha vitu viwili tofauti kabisa apo Mungu aliruhusu shetani kumjaribu Ayubu

Allah yeye kasema anatuma mashetani Wawa chochee kwa uchechezi Allah hatumi shetani kujaribu watu ILa ANaTUma WaKAWAzURu, Na pia kwenye aya nyingiNE KaSEma KAwAFUnGa WakRISto Na ATakUWA ANAWAFANYA WACHUKIANE WAO WA WAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…