Ilo swali nishalijibu soma vzr iyo post yangu ya juu apo nimelijibu vzr tuuSijajikoroga nauliza.
Kuna mchanguaji kauliza hapo juu kuwa.
4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
Aya hiyo hapo anayezungumza ni nani ?
Hhuyo "Nasi" ni nani ?
Ndio hapo Allah anatumia nafsi ya uwingi ?
Swali la dini ukiulizwa wewe jibu tu usitoe sababu nyingine.
Kwani.
Hata mimi nisipo sikia watu wengine watajifunza kutokana na jibu lako.
Ilo swali mm nishalieleza iyo post uloquote kwaio soma vzr apo mwanzo kabisa nimelieleza ilo swali lko
N.b.ukiwa hujafahamu nambie
Jibu ni kuwa NASI ni waliomkaba kule pangoni.Hujafafanua vizuri aya. Hao “Nasi” ni kina nani ambapo Mwenyezi Mungu ni shahidi?
Yni sijui hufahamu sbr nikufahamishe tenaHujafafanua vizuri aya. Hao “Nasi” ni kina nani ambapo Mwenyezi Mungu ni shahidi?
Hlf kijana nilikua nakuona untka kuelimishwa kumbe ni miongoni mwa wajinga tuJibu ni kuwa NASI ni waliomkaba kule pangoni.
Ila kamwe hawataki kulisema.
Toka enzi za Adam na Eva Malaika wa Mungu akimtokea Nabii huwa anajitambulisha kwanza na anasema usiogope.
Yaani analeta ujumbe kwa amani kabisa.
Muhammadi kabla ya kupewa ujumbe wa "Soma" alikabwa kiugomvi kabisa na kujeruhiwa hadi kuumwa homa kali. Na hadi anaondoka mkabaji hakujitambulisha.
Mungu hakuwahi kutuma ujumbe kwa stahili hii katika Torati, Zaburi wala Injiri.
Lakini baadae walikuja kujitambulisha waliomkaba na kumtuma muhammadi. Leo nawasema hapa.
Ni Majini. Ambao wakaweka na sura yao kabisa kwenye Qurani.
Jini mkuu ndiye aliyemkaba Muhammadi na kumtuma kwa watu huku Mungu wakimtaja kama shahidi.
Ukitazama kwa ndani hii hoja ina mashiko.
Majini ni waislamu tena kabla ya Muhammadi na Waislamu wanakubali hii hoja.
Ukisoma kitabu cha "Maisha ya Mtume Muhammadi" utaona alivyo toka kule pangoni alikuwa katika hali ya Kupagawa na Majini hadi akapungwa na Waraqa ndio akatulizana.
Yalichofanya Majini kwakuwa yanalijua sana neno la Mungu, yakaokota maneno machache sana kwenye Tarati, Zabuli na Injiri yakachanganya na mengi ya kwao na kukanusha
Misingi ya Imani ya Mungu iliyotangwaza na Yesu Kristo.
1."Mateso na Kifo cha Yesu Kristo"
Na
2."Ubatizo"
Yesu anasema pamoja na kusikia neno lake lakini ni lazima mtu azaliwe mara ya pili iwe kwa maji au moto. "abatizwe"
Jini Allah kakanusha.
Yesu anasema ni lazima Mwana wa adamu akamatwe, ateswe, asulubiwe, afe, azikwe, afufuke siku ya tatu na kupaa kwa baba yake Mbinguni.
Jini Allah kakanusha
Ukisoma kwa umakini kitabu cha Qurani.
Jini Allah anajitambulisha kama
"Mola Mlezi" au "Mola"
Mungu, wanamtambulisha kama Mwenyezi Mungu kama kawaida
Ndio maana kwenye Qurani Allah kutumii kabisa nafsi ya kwanza umoja ya Mungu anaogopa na kuikwepa.
Kama
"Mimi ni Mungu wa Ibrahimu" "wenu" "wako"
"Naapa kwa nafsi yangu"
"Nasema nitawabariki" nk.
Ndio maana kama alivyosema mchangiaji fulani, ni vigumu sana ktk Qurani kujua wapi anazungumza Allah, Muhammadi au Majini.
Hii ni mbinu ambayo Allah anatumia kujificha ili asigundulike utambulisho wake.
Allah katumia mbinu za hali ya juu za kujiweka katika hadhi ya Mungu wakati sio, uovu wote anaoufanya Muhammadi anamtetea kwa nguvu zote.
Hivyo NASI ni Majini.
Hii hoja sio ya chuki ni ya mjadala moto. (hot debate)
cc spensa_e,
Koran 4 79:
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. *Nasi*tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
Hao Nasi ni kina nani ambapo mwenyezi Mungu ni shahidi?
Tatizo lenu Waislamu mkiletewa tu mada ngumu mnatangaza uadui, vita na kama hakuna ulinzi mnamwua anaye jaribu kutoa hoja ngumu kama hiyo.Hlf kijana nilikua nakuona untka kuelimishwa kumbe ni miongoni mwa wajinga tu
Sasa endelea na Ukristo wako ila ukifa na UKAFIRI wako ni MOTONI TUU.
Usilolijua sawa na ucku wa gizaTatizo lenu Waislamu mkiletewa tu mada ngumu mnatangaza uadui, vita na kama hakuna ulinzi mnamwua anaye jaribu kutoa hoja ngumu kama hiyo.
Hapo upendo unaondoka kabisa.
Yaani mtu akileta kitu hamkitaki kukisikika mnamuhukumu kifo kama Salman Rushdie.
Jibuni hoja badala ya vitisho.
Jiulizeni kwanini mlikifungia kitabu cha "Satanic Verses" na hata mtu mwingine kama mimi akikutwa nacho ni adhabu ya kifo juu yake ni kwanini ?
Kwanini msikijibu na kikaonekana hakina hoja za msingi ?
Majini ni Waislamu, sasa kuna tatizo gani kama Muhammadi alitokewa na Jini ?
Jini muislamu mwenzake ?
Na kumfundisha kueneza
Uislamu duniani ?
Na imeandikwa Majini wanaijua Qurani kupita waislamu watu ?
Kaeni chini mjitafakari.
Ni vipi mshiriki dini moja na Majini ?
Hili hamtaki kusikia kabisa wakati Mtume wenu Muhammadi alikuwa anajadiriana nayo kawaida tu na kuwaletea ujumbe wao.
Hili hamlisemi hata Misikitini jiulizeni ni kwanini ?
Wakristo wameandikiwa mamilioni ya vitabu ya kuwapinga na vinasowma na vimeshindwa kukidhi vigezo.
Zimetungwa Injiri feki nyingi kama "Injiri ya Barnaba" zipo mitaani hakuna marufuku wala vitisho.
Hoja zake zimejibiwa na zimeshindwa, na hakuna shida.
Watu mpaka wanaogopa kuukosoa Uislamu kwasababu ya nguvu kubwa ya vitisho vyenu.
Wekeni wazi mambo yenu yote kuliko kuficha ukweli mwingine.
Yaani huo mnao uficha.
Unanisilimisha niwe Mwislamu, lakini huniambii kuwa nitakuwa naswali msikiti mmoja na Majini, si kuniingiza katika mtego hatarishi sana.
Kama uko siriazi hebu tujadiri hili swala la nafasi ya
"Majini katika Uislamu"
Hakuna mwislamu atakaye ipenda hii mada.
Kumbukeni msemo wa wahenga
"mfichaficha Maradhi"
Kwaherini.
Tangulini ukoo ukafitiana..majini na mapepo ndio mnayoyafuga..sasa yatoke yaende wapi.Usilolijua sawa na ucku wa giza
hlf m nashangaa sanaa M sijawahi kuona misikitini kuna mapepo lkn kila siku makanisani ety wanakemea mapepo sasa ebu jiulize hua mnayatoa wapi hyo mashetani yenu usipende kufuata mkumbo tuu
Kuchafuliwa Uislamu lzma waislamu waseme mna ata ww apo ukisingiziwa uongo tuu utalaani mpk basi ili uombwe radhi sasa kma dini yko inachafuliwa ndo ukae kimya we vipi ww jitafakari vzr kijana wa KIKAFIRI
hlf KAFIRI sio tusi wala nn yni asiekua muislamu yyte yule ni KAFIRI kwaio msinune tukikuiteni ivo
Unajua hizi imani zinategemeana sana, moses hakumjua mungu mpaka alupokimbilia uarabuni baada ya kuua mfanyakazi wa farao,, huko akabatizwa na baba mkwe wake katika imani ya kuabudu mungu Yahwew(jehova),ambae alikua mungu wa kipagani wa waarabu.Tunaendelea kujifunza.
Hadi yesu anakufa hakujawa na ukirsto, ukristo umeanza enzi za kina mfalme costantine wa Rome,, lakini kabla ya hapo,, ilianza dini ya kiyahudi, mara baada ya wayahudi kurudi kutoka utumwani babel,, kabla ya hapo wayahudi walikuwa bado wakiabudu miungu tofauti,, mfano israel kingdom walikuwa wanaabudi El, wakati yudah kingdom walikua wakiabudu, Yahwew,Uislam, kwa maana ya kuteremshwa kwa Quran, kumeanza mwaka 610. Swali kwako ukristo umeanza lini?
Uislam si maana yake ni, "kufuata maamrisho ya Mungu, kujiweka kwa Mungu"Uislam wa Adam ulikuwa vipi?
We jamaa bana,, sasa unataka kusema Adam alianza kwenda sunday school kuanzia day one?.Swali, kwanini Mungu alipomuumba Adam hakumpa Muongozo hadi ipite miaka takribani 5,000 ndipo Muongozo huu uitwao Uislam utoke?
kitabu gani kina nondo hizi?Unajua hizi imani zinategemeana sana, moses hakumjua mungu mpaka alupokimbilia uarabuni baada ya kuua mfanyakazi wa farao,, huko akabatizwa na baba mkwe wake katika imani ya kuabudu mungu Yahwew(jehova),ambae alikua mungu wa kipagani wa waarabu.
Abraham nae alitoka kwao iraq, akatelemka caanan ambako alikuta watu wa caanan wakiabudu mungu mkuu alieitwa El,,
Mfalme mtukufu(malkzedek) ndie aliembatiza abraham kwenye imani ya kuabudu mungu wa caanan alieitwa El..
Hii ina maana, Abraham alikufa bila kujua kuna mungu anaeitwa jehova.
Hapo sasa ndo mkanganyiko unapoanzia,
Ikiwa El alikua ni mungu wa kipagani,, inakuaje jacob apewe jina la mungu wa watu wa caanan?
Jacob aliitwa israel,, lakini kizazi chake jacob kinaabudu mungu wa kipagani wa waarabu wa saud arabia,, yaani jehova,
What happen to deity El?.
Halafu kwani mji unaoitwa wa Daud,, yani , "Jerusalem-urusalem",, bado unabeba jina la mungu wa kipagani salem?.
Ukireseach haya maswali kwa moyo mweupe kabisa conclusion utapata ni kuwa hizi dini ni magumashi..
Biblia kuwa kitabu ni wakati wa king Constantine ndipo walikusanyika kuandika hicho kitabu kwa kuunga maandiko toka vyanzo mbalimbaliNacheka sana. Hapa ndipo utamu wa elimu unapo onekana.
Zama za mtume hapakuwa na Biblia,kijana. Nakupa miaka mia uje kuthibitisha ya kuwa Biblia ilikiwepo tu zama za mtume achilia mbali miaka kumi tu baada ya nabii Issa kupazwa.
Wakubwa tunapo ongelea elimu,unatakiwa ukacheze ila usichezee mchanga maana ukirudi nyumbani utachapwa.
Biblia na historykitabu gani kina nondo hizi?
Hivyo vitabu vya historia nitajie nitavitaftaBiblia na history
huna la kusema nyamazaTangulini ukoo ukafitiana..majini na mapepo ndio mnayoyafuga..sasa yatoke yaende wapi.
#MaendeleoHayanaChama