Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Sijajikoroga nauliza.
Kuna mchanguaji kauliza hapo juu kuwa.

4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

Aya hiyo hapo anayezungumza ni nani ?
Hhuyo "Nasi" ni nani ?
Ndio hapo Allah anatumia nafsi ya uwingi ?

Swali la dini ukiulizwa wewe jibu tu usitoe sababu nyingine.

Kwani.

Hata mimi nisipo sikia watu wengine watajifunza kutokana na jibu lako.
Ilo swali nishalijibu soma vzr iyo post yangu ya juu apo nimelijibu vzr tuu
 
Hujafafanua vizuri aya. Hao “Nasi” ni kina nani ambapo Mwenyezi Mungu ni shahidi?
Jibu ni kuwa NASI ni waliomkaba kule pangoni.
Ila kamwe hawataki kulisema.

Toka enzi za Adam na Eva Malaika wa Mungu akimtokea Nabii huwa anajitambulisha kwanza na anasema usiogope.
Yaani analeta ujumbe kwa amani kabisa.
Muhammadi kabla ya kupewa ujumbe wa "Soma" alikabwa kiugomvi kabisa na kujeruhiwa hadi kuumwa homa kali. Na hadi anaondoka mkabaji hakujitambulisha.

Mungu hakuwahi kutuma ujumbe kwa stahili hii katika Torati, Zaburi wala Injiri.

Lakini baadae walikuja kujitambulisha waliomkaba na kumtuma muhammadi. Leo nawasema hapa.

Ni Majini. Ambao wakaweka na sura yao kabisa kwenye Qurani.
Jini mkuu ndiye aliyemkaba Muhammadi na kumtuma kwa watu huku Mungu wakimtaja kama shahidi.

Ukitazama kwa ndani hii hoja ina mashiko.
Majini ni waislamu tena kabla ya Muhammadi na Waislamu wanakubali hii hoja.
Ukisoma kitabu cha "Maisha ya Mtume Muhammadi" utaona alivyo toka kule pangoni alikuwa katika hali ya Kupagawa na Majini hadi akapungwa na Waraqa ndio akatulizana.

Yalichofanya Majini kwakuwa yanalijua sana neno la Mungu, yakaokota maneno machache sana kwenye Tarati, Zabuli na Injiri yakachanganya na mengi ya kwao na kukanusha

Misingi ya Imani ya Mungu iliyotangwaza na Yesu Kristo.

1."Mateso na Kifo cha Yesu Kristo"
Na
2."Ubatizo"

Yesu anasema pamoja na kusikia neno lake lakini ni lazima mtu azaliwe mara ya pili iwe kwa maji au moto. "abatizwe"
Jini Allah kakanusha.

Yesu anasema ni lazima Mwana wa adamu akamatwe, ateswe, asulubiwe, afe, azikwe, afufuke siku ya tatu na kupaa kwa baba yake Mbinguni.
Jini Allah kakanusha

Ukisoma kwa umakini kitabu cha Qurani.
Jini Allah anajitambulisha kama
"Mola Mlezi" au "Mola"

Mungu, wanamtambulisha kama Mwenyezi Mungu kama kawaida

Ndio maana kwenye Qurani Allah kutumii kabisa nafsi ya kwanza umoja ya Mungu anaogopa na kuikwepa.
Kama
"Mimi ni Mungu wa Ibrahimu" "wenu" "wako"
"Naapa kwa nafsi yangu"
"Nasema nitawabariki" nk.

Ndio maana kama alivyosema mchangiaji fulani, ni vigumu sana ktk Qurani kujua wapi anazungumza Allah, Muhammadi au Majini.
Hii ni mbinu ambayo Allah anatumia kujificha ili asigundulike utambulisho wake.
Allah katumia mbinu za hali ya juu za kujiweka katika hadhi ya Mungu wakati sio, uovu wote anaoufanya Muhammadi anamtetea kwa nguvu zote.

Hivyo NASI ni Majini.

Hii hoja sio ya chuki ni ya mjadala moto. (hot debate)
cc spensa_e,
 
Yni sijui hufahamu sbr nikufahamishe tena

Allah hutumia nafsi ya wingi na umoja ili kujifakharisha kutokana na ufalme wake

Sasa akisema Nasi apo ametumia nafsi ya wingi ili kujifakharisha yy lkn ni yy Allah peke ake ndio afanyayo yote hayo

Raisi watz akiwa anahutubia atasema sisi watz kwani apo Raisi ameshirikiana na nani apo si yupo peke ake apo anapohutubia lkn husema sisi

N.b.Sio kila mtu anaweza kuitafsiri Qur'an kwaio usitumie akili yko ndogo kuitafsiri Qur'an kma hujui Uliza
 
Jibu ni kuwa NASI ni waliomkaba kule pangoni.
Ila kamwe hawataki kulisema.

Toka enzi za Adam na Eva Malaika wa Mungu akimtokea Nabii huwa anajitambulisha kwanza na anasema usiogope.
Yaani analeta ujumbe kwa amani kabisa.
Muhammadi kabla ya kupewa ujumbe wa "Soma" alikabwa kiugomvi kabisa na kujeruhiwa hadi kuumwa homa kali. Na hadi anaondoka mkabaji hakujitambulisha.

Mungu hakuwahi kutuma ujumbe kwa stahili hii katika Torati, Zaburi wala Injiri.

Lakini baadae walikuja kujitambulisha waliomkaba na kumtuma muhammadi. Leo nawasema hapa.

Ni Majini. Ambao wakaweka na sura yao kabisa kwenye Qurani.
Jini mkuu ndiye aliyemkaba Muhammadi na kumtuma kwa watu huku Mungu wakimtaja kama shahidi.

Ukitazama kwa ndani hii hoja ina mashiko.
Majini ni waislamu tena kabla ya Muhammadi na Waislamu wanakubali hii hoja.
Ukisoma kitabu cha "Maisha ya Mtume Muhammadi" utaona alivyo toka kule pangoni alikuwa katika hali ya Kupagawa na Majini hadi akapungwa na Waraqa ndio akatulizana.

Yalichofanya Majini kwakuwa yanalijua sana neno la Mungu, yakaokota maneno machache sana kwenye Tarati, Zabuli na Injiri yakachanganya na mengi ya kwao na kukanusha

Misingi ya Imani ya Mungu iliyotangwaza na Yesu Kristo.

1."Mateso na Kifo cha Yesu Kristo"
Na
2."Ubatizo"

Yesu anasema pamoja na kusikia neno lake lakini ni lazima mtu azaliwe mara ya pili iwe kwa maji au moto. "abatizwe"
Jini Allah kakanusha.

Yesu anasema ni lazima Mwana wa adamu akamatwe, ateswe, asulubiwe, afe, azikwe, afufuke siku ya tatu na kupaa kwa baba yake Mbinguni.
Jini Allah kakanusha

Ukisoma kwa umakini kitabu cha Qurani.
Jini Allah anajitambulisha kama
"Mola Mlezi" au "Mola"

Mungu, wanamtambulisha kama Mwenyezi Mungu kama kawaida

Ndio maana kwenye Qurani Allah kutumii kabisa nafsi ya kwanza umoja ya Mungu anaogopa na kuikwepa.
Kama
"Mimi ni Mungu wa Ibrahimu" "wenu" "wako"
"Naapa kwa nafsi yangu"
"Nasema nitawabariki" nk.

Ndio maana kama alivyosema mchangiaji fulani, ni vigumu sana ktk Qurani kujua wapi anazungumza Allah, Muhammadi au Majini.
Hii ni mbinu ambayo Allah anatumia kujificha ili asigundulike utambulisho wake.
Allah katumia mbinu za hali ya juu za kujiweka katika hadhi ya Mungu wakati sio, uovu wote anaoufanya Muhammadi anamtetea kwa nguvu zote.

Hivyo NASI ni Majini.

Hii hoja sio ya chuki ni ya mjadala moto. (hot debate)
cc spensa_e,
Hlf kijana nilikua nakuona untka kuelimishwa kumbe ni miongoni mwa wajinga tu
Sasa endelea na Ukristo wako ila ukifa na UKAFIRI wako ni MOTONI TUU.
 
Koran 4 79:
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. *Nasi*tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

Hao Nasi ni kina nani ambapo mwenyezi Mungu ni shahidi?

spensa_e njoo usaidie ufafanuzi wa hiyo tafadhali kwa mujibu wa maandiko
 
Hlf kijana nilikua nakuona untka kuelimishwa kumbe ni miongoni mwa wajinga tu
Sasa endelea na Ukristo wako ila ukifa na UKAFIRI wako ni MOTONI TUU.
Tatizo lenu Waislamu mkiletewa tu mada ngumu mnatangaza uadui, vita na kama hakuna ulinzi mnamwua anaye jaribu kutoa hoja ngumu kama hiyo.
Hapo upendo unaondoka kabisa.
Yaani mtu akileta kitu hamkitaki kukisikika mnamuhukumu kifo kama Salman Rushdie.
Jibuni hoja badala ya vitisho.

Jiulizeni kwanini mlikifungia kitabu cha "Satanic Verses" na hata mtu mwingine kama mimi akikutwa nacho ni adhabu ya kifo juu yake ni kwanini ?
Kwanini msikijibu na kikaonekana hakina hoja za msingi ?

Majini ni Waislamu, sasa kuna tatizo gani kama Muhammadi alitokewa na Jini ?
Jini muislamu mwenzake ?
Na kumfundisha kueneza
Uislamu duniani ?
Na imeandikwa Majini wanaijua Qurani kupita waislamu watu ?

Kaeni chini mjitafakari.
Ni vipi mshiriki dini moja na Majini ?

Hili hamtaki kusikia kabisa wakati Mtume wenu Muhammadi alikuwa anajadiriana nayo kawaida tu na kuwaletea ujumbe wao.

Hili hamlisemi hata Misikitini jiulizeni ni kwanini ?

Wakristo wameandikiwa mamilioni ya vitabu ya kuwapinga na vinasowma na vimeshindwa kukidhi vigezo.
Zimetungwa Injiri feki nyingi kama "Injiri ya Barnaba" zipo mitaani hakuna marufuku wala vitisho.
Hoja zake zimejibiwa na zimeshindwa, na hakuna shida.

Watu mpaka wanaogopa kuukosoa Uislamu kwasababu ya nguvu kubwa ya vitisho vyenu.

Wekeni wazi mambo yenu yote kuliko kuficha ukweli mwingine.
Yaani huo mnao uficha.

Unanisilimisha niwe Mwislamu, lakini huniambii kuwa nitakuwa naswali msikiti mmoja na Majini, si kuniingiza katika mtego hatarishi sana.
Kama uko siriazi hebu tujadiri hili swala la nafasi ya
"Majini katika Uislamu"
Hakuna mwislamu atakaye ipenda hii mada.
Kumbukeni msemo wa wahenga

"mfichaficha Maradhi"

Kwaherini.
 
Usilolijua sawa na ucku wa giza
hlf m nashangaa sanaa M sijawahi kuona misikitini kuna mapepo lkn kila siku makanisani ety wanakemea mapepo sasa ebu jiulize hua mnayatoa wapi hyo mashetani yenu usipende kufuata mkumbo tuu

Kuchafuliwa Uislamu lzma waislamu waseme mna ata ww apo ukisingiziwa uongo tuu utalaani mpk basi ili uombwe radhi sasa kma dini yko inachafuliwa ndo ukae kimya we vipi ww jitafakari vzr kijana wa KIKAFIRI

hlf KAFIRI sio tusi wala nn yni asiekua muislamu yyte yule ni KAFIRI kwaio msinune tukikuiteni ivo
 
Tangulini ukoo ukafitiana..majini na mapepo ndio mnayoyafuga..sasa yatoke yaende wapi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tunaendelea kujifunza.
Unajua hizi imani zinategemeana sana, moses hakumjua mungu mpaka alupokimbilia uarabuni baada ya kuua mfanyakazi wa farao,, huko akabatizwa na baba mkwe wake katika imani ya kuabudu mungu Yahwew(jehova),ambae alikua mungu wa kipagani wa waarabu.
Abraham nae alitoka kwao iraq, akatelemka caanan ambako alikuta watu wa caanan wakiabudu mungu mkuu alieitwa El,,
Mfalme mtukufu(malkzedek) ndie aliembatiza abraham kwenye imani ya kuabudu mungu wa caanan alieitwa El..
Hii ina maana, Abraham alikufa bila kujua kuna mungu anaeitwa jehova.
Hapo sasa ndo mkanganyiko unapoanzia,
Ikiwa El alikua ni mungu wa kipagani,, inakuaje jacob apewe jina la mungu wa watu wa caanan?
Jacob aliitwa israel,, lakini kizazi chake jacob kinaabudu mungu wa kipagani wa waarabu wa saud arabia,, yaani jehova,
What happen to deity El?.
Halafu kwani mji unaoitwa wa Daud,, yani , "Jerusalem-urusalem",, bado unabeba jina la mungu wa kipagani salem?.
Ukireseach haya maswali kwa moyo mweupe kabisa conclusion utapata ni kuwa hizi dini ni magumashi..
 
Uislam, kwa maana ya kuteremshwa kwa Quran, kumeanza mwaka 610. Swali kwako ukristo umeanza lini?
Hadi yesu anakufa hakujawa na ukirsto, ukristo umeanza enzi za kina mfalme costantine wa Rome,, lakini kabla ya hapo,, ilianza dini ya kiyahudi, mara baada ya wayahudi kurudi kutoka utumwani babel,, kabla ya hapo wayahudi walikuwa bado wakiabudu miungu tofauti,, mfano israel kingdom walikuwa wanaabudi El, wakati yudah kingdom walikua wakiabudu, Yahwew,
Baada ya utawala wa israel kuangushwa na Asyrian,, ndiposa makuhani wa yudah kingdom wakatake cover mpaka israel,, na ni katika kipindi hicho ndipo king JOSIA alianza kuweka maandiko ambayo ndo ukaja kuwa msingi wa dini ya kiyahudi,,
Ndo maana utakuta maandiko mengi ya agano la kale, yanawalaani waflume wa israel kwamba walikiuka maagizo ya jehova na ndo maana israel iliangushwa na asyrian,
In short christianity imeanza rasmi miaka kama 100,nyuma ya uislam,
 
Swali, kwanini Mungu alipomuumba Adam hakumpa Muongozo hadi ipite miaka takribani 5,000 ndipo Muongozo huu uitwao Uislam utoke?
We jamaa bana,, sasa unataka kusema Adam alianza kwenda sunday school kuanzia day one?.
Kina isaka, abraham elisha, eliah walihudhuria misa za kipaimara?
 
Unajua hizi imani zinategemeana sana, moses hakumjua mungu mpaka alupokimbilia uarabuni baada ya kuua mfanyakazi wa farao,, huko akabatizwa na baba mkwe wake katika imani ya kuabudu mungu Yahwew(jehova),ambae alikua mungu wa kipagani wa waarabu.
Abraham nae alitoka kwao iraq, akatelemka caanan ambako alikuta watu wa caanan wakiabudu mungu mkuu alieitwa El,,
Mfalme mtukufu(malkzedek) ndie aliembatiza abraham kwenye imani ya kuabudu mungu wa caanan alieitwa El..
Hii ina maana, Abraham alikufa bila kujua kuna mungu anaeitwa jehova.
Hapo sasa ndo mkanganyiko unapoanzia,
Ikiwa El alikua ni mungu wa kipagani,, inakuaje jacob apewe jina la mungu wa watu wa caanan?
Jacob aliitwa israel,, lakini kizazi chake jacob kinaabudu mungu wa kipagani wa waarabu wa saud arabia,, yaani jehova,
What happen to deity El?.
Halafu kwani mji unaoitwa wa Daud,, yani , "Jerusalem-urusalem",, bado unabeba jina la mungu wa kipagani salem?.
Ukireseach haya maswali kwa moyo mweupe kabisa conclusion utapata ni kuwa hizi dini ni magumashi..
kitabu gani kina nondo hizi?
 
Nacheka sana. Hapa ndipo utamu wa elimu unapo onekana.

Zama za mtume hapakuwa na Biblia,kijana. Nakupa miaka mia uje kuthibitisha ya kuwa Biblia ilikiwepo tu zama za mtume achilia mbali miaka kumi tu baada ya nabii Issa kupazwa.

Wakubwa tunapo ongelea elimu,unatakiwa ukacheze ila usichezee mchanga maana ukirudi nyumbani utachapwa.
Biblia kuwa kitabu ni wakati wa king Constantine ndipo walikusanyika kuandika hicho kitabu kwa kuunga maandiko toka vyanzo mbalimbali
 
kwa iyo ukristo upo nyuma ya uisilamu mbona wa islamu wana sema kitabu chao kitakatifu kilitoka kwa allahh moja kwa moja
 
Back
Top Bottom