Naona umeshaelewa,unarudi katika jambo ambalo nimeshalifanya zaidi ya mara moja humu.Unaweza kuthibitisha Allah yupo kweli na si kamba za watu tu?
Hili naweza na hapa nathbitisha :
32. Au hizo akili zao ndio zinawaamrisha haya, au wao basi ni watu majeuri tu?
33. Au ndio wanasema: Ameitunga hii! Bali basi tu hawaamini!
34. Basi nawalete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli.
35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji?
36. Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini. (at-Turri : 32 - 36)
Nimethibitisha tayari. Naomba uthibitishe ya kuwa Allah hayupo,au uniambie tu umejuaje kama Allah hayupo ?
Pili,nina uhakika hujui ulicho kiuliza.