Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Unanipotezea muda.
Kwisho habari Yako najua kwa nini huweki link , na najua unatamia uongo alikufundisha Allah kwamba ukibanwa kwenye dini Yako danganya , kama umeshindwa kuweka link ni wazi unaogopa ukweli kujilikana

Na kwahivyo tutabaki na link ya Jordan

Stupidity is amazing
 
Unanipotezea muda.
Issue nimesha maliza ila nina maswali ya ziada kwako
-Kwa nini unawatuhumu waislamu wenzako kuwa ni waongo
-Na kwa nini waislamu wanaweka tafsiri za uongo na dunia nzima inazisoma

Nimeweka link ya Jordan ambayo ni website inayoaminika dunia nzima na wewe umewatuhumu ni waongo jibu maswali hapo
 
Unachanganya kuhubiri na kuthibitisha.

Nimekuuliza kuhusu kuthibitisha, si kuhubiri.

Unaweza kuthibitisha Allah yupo kweli na kwamba habari za kuwapo kwake si kamba za watu tu?

Hujathibitisha hili.

Siku zote unapokutana na hoja za waislamu unakwama/feli mzee, unabaki kurudia yale yale wakati tayari ushapewa majibu yake. ,subiri ukifa utajua sasahivi pumzi inakuhadaa.

Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.” Qur’an, Familia ya Imran (Aal-i Imran); 19 (3: 19)
 
Alie ongea (Koran 3:19) hayo maneno ni nani? Ni Muhammad , Jibril au Allah
 
Kwisho habari Yako najua kwa nini huweki link , na najua unatamia uongo alikufundisha Allah kwamba ukibanwa kwenye dini Yako danganya , kama umeshindwa kuweka link ni wazi unaogopa ukweli kujilikana

Na kwahivyo tutabaki na link ya Jordan

Stupidity is amazing
Poa.
 
Issue nimesha maliza ila nina maswali ya ziada kwako
-Kwa nini unawatuhumu waislamu wenzako kuwa ni waongo
-Na kwa nini waislamu wanaweka tafsiri za uongo na dunia nzima inazisoma

Nimeweka link ya Jordan ambayo ni website inayoaminika dunia nzima na wewe umewatuhumu ni waongo jibu maswali hapo
Poa.
 
Naomba nirahisishe kwa kuweka excerpt hii.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Hence Muslims continued to perform the customary rituals at the Kabah, the cube-shaped shrine in the heart of Mecca, the most important centre of worship in Arabia. It was extremely ancient even in Muhammad’s time, and the original meaning of the cult associated with it had been forgotten, but it was still loved by the Arabs, who assembled each year for the hajj pilgrimage from all over the peninsula. They would circle the shrine seven times, following the direction of the sun around the earth; kiss the Black Stone embedded in the wall of the Kabah, which was probably a meteorite that had once hurtled to the ground, linking the site to the heavenly world.

These rites (known as the umrah) could be performed at any time, but during the hajj pilgrims would also run from the steps of al-Safa beside the Kabah across the valley to al-Marwah, where they prayed. They then moved to the environs of Mecca: on the plain of Arafat, they stood all night in vigil; they rushed in a body to the hollow of Muzdalifah; hurled pebbles at a rock in Mina, shaved their heads, and on the Id al-Adha, the final day of the pilgrimage, they performed an animal sacrifice.

The ideal of community was central to the cult of the Kabah. All violence was forbidden in Mecca and the surrounding countryside at all times. This had been a key factor in the commercial success of the Quraysh, since it enabled Arabs to trade there without fearing the reprisals of vendetta warfare. During the hajj pilgrims were forbidden to carry arms, to argue, to kill game or even to kill an insect or speak a cross word. All this was clearly congenial to Muhammad’s ideal for the ummah, and he was himself devoted to the shrine, often made the umrah and liked to recite the Quran beside the Kabah.

Officially, the shrine was dedicated to Hubal, a Nabatean deity, and there were 360 idols arranged around the Kabah, probably representing the days of the year. But by Muhammad’s day, it seems that the Kabah was venerated as the shrine of Allah, the High God, and it is a mark of the widespread conviction that Allah was the same as the deity worshipped by monotheists that those Arabs in the northern tribes on the borders of the Byzantine Empire who had converted to Christianity used to make the hajj alongside the pagans. Yet for all this, in the early days of his mission, Muhammad still made the Muslims perform the salat prayer facing Jerusalem, the holy city of the ahl al-kitab, turning their backs on the pagan associations of the Kabah. This expressed his longing to bring the Arabs into the monotheistic family.
Aisee!
 
Siku zote unapokutana na hoja za waislamu unakwama/feli mzee, unabaki kurudia yale yale wakati tayari ushapewa majibu yake. ,subiri ukifa utajua sasahivi pumzi inakuhadaa.

Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.” Qur’an, Familia ya Imran (Aal-i Imran); 19 (3: 19)
Uislamu ni ku submit, ukisha submit huna hoja.

Utaletaje hoja kwenye dini ya ku submit?

Quran imesema Allah kawatia uzito wa moyo waja wake, kawafumba macho na masikio wasimjue.

Halafu atawapa hukumu kubwa sana, kwa sababu hawakumjua.

Hapo hapo unaambiwa Allah ni mwingi wa rehema na huruma.

Yani baba anakataza wanawe kwenda shule kujifunza kusoma, anawafungia ndani, anawazuia kujifunza.

Halafu anawaadhibu vibaya sana, kwa kuwa hawajui kusoma.

Huyo Allah yupo kweli jamani?

Au mnamzusha tu?
 
Ogopa sana dini inayosema jino kwa jino Allah ukimkosea ni jino kwa jino ,allah yeye hawez kujipambania mpaka atume watu wajitoe muhanga,ukishaona kitu kinatetewa kwa nguvu namna hii lazima uwe na maswali

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Walikuwa wana zaa pacha wa kike na kiume. Kisha kaka wa pacha wa kwanza anamuoa dada wa pacha wa pili.
Hilo haliwezi kuwa sababu ya kuhalalisha mahusiano ya ndugu kwa ndugu kwasababu Mungu ni muweza wa yote hivyo alikuwa anaweza kuwaumba binadamu wengi wa jinsia mbili mbili tofauti kwa wakati mmoja ili kuepuka mahusiano ya ndugu kwa ndugu.
 
Unahoji mambo kitoto sana. Kama unajua Mola ni muweza wa yote kwanini ukatae kama hii haikuwa sababu ?

Katika utaratibu alio uweka kwa wao ni kuwa watazaliwa mapacha na atawaoza kwa ndugu zao,na angetaka kuwa kinyume chake angefanya,sababu akitaka jambo kuwa linakuwa.
 
Mwenyezi Mungu
  • Mwenyezi Mungu anaongea alafu anasema dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu, Je huyu Mwenyezi Mungu alijasahau kwamba Yeye ndio Mwenyezi Mungu au? swali lipo bado haya ni maneno ya nani? kwa nini hajaseama mbele yangu au ishara zangu?
    • 3:19 Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.”
 
Hapa unafundishwa jinsi muhammad alivyouzindua uislam,halafu unasema uislam umekuwepo tokea adam?kwa hiyo Mohammad alikuwepo kabla ya Adam?tulia,soma,elewa.
Hata kalenda zenyewe za Kiislam zinaonesha uislamu hauna hata miaka 1500 halafu mwarabu wa Mwitongo anakuja kutudanganya kwamba eti uislamu ulikuwepo tokea enzi za kina Adam, tusidanganyane.
 
Back
Top Bottom