Wewe wa kupigwa makofi,nani amekwambia kwenye Qur'aan kuna amri kumi ? Ndiyo maana nilikwambia unakurupuka na kuandika upuuzi.
Umetaka ushahidi na nimekuuliza swali hukumu ni sheria si sheria ? Umekimbia. Unapojadiliana na mimi,unatakiwa uwe unakijua unachokijadili.
Pili,Allah hakuna asichokijua,huu uongo mwingine. Allah hakuna kitabu kingine nje ya Qur'aan ambacho aliahidi kukilinda,ndiyo maana leo hii hakuna mwenye Torati,Injili wala Zaburi kama zilivyo shuka. Kwahiyo naona unaendelea kuzua uongo kama ilivyo ada yako.
Nyie mnao dai Injili,au Torati au Zaburi mpaka mnakufa hakuna mwenye nayo wala atakaye kuwa nayo.