Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Jikite kwenye point issue ya lugha inajulikana
Nilianza kwenye point kisha nikaja kwenye lugha.

Vile vile si lila mtu anafaa kujibiwa wengina nawapuuza kwa kuandika ujinga na uongo ulio wazi,na wewe miongoni mwa hao.
 
Nimeshakumaliza hujui dini Yako
Huyu mkristo ndio aliandika sura ndefu Sana kwenye Koran , na akasema wazi muhammad hajui nilicho muandikia
Allah akufanyie wepesi ujue Uislamu kabla ya kufariki
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mjinga katika ubora wake
watu wanakariri vitabu vya sheria ije kua iyo bible ya yohana
Embu funguka akili ww kwaio wakristo hawawezi kuhifadhi bible yao?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Dini ya Uislamu ni dini nyepesi mnoo ttzo lko ww unapenda mabishano hlf ata huna Elimu na kuelimishwa hutki m ndo mna nakuona kma mjinga tu ivi ulopotea njia
Hakuna bible ya yohana Kuna injili aliyo andika yohana, bible watu tumekariri cover to cover
 
Hana alijualo uyo
lile swali ulomuuliza khsu maana ya hadith, qur'an na sunna mpk leo hajajibu
Hamna kitu humu kuna mmoja nikaona amemsifia kwamba anaujia uislamu,nikasema aisee.

Kuna lingine nimemuuliza atuwekee aya 10 alizo dai zilikuwepo kisha zikafutwa mpaka kufikia 5 kisha zikafutwa zote,atuambie zilikuwa ni aya gani ? Hajajibu hilo swali.
 
ULIDAI KWAMBA KORAN NI MUUJIZA
ALLAH ALISHA SEMA HANA MUUJIZA WOWOTE KWA MUHAMMAD

Koran 17:59 "And We refrain from sending the signs, only because the men of former generations treated them as false."

Watu walimbana muhammad kwa nini hana muujiza WOWOTE , Allah akashusha Aya akasema muhammad hana muujiza yeye ni muonyaji tu

13:7 Jalal - Al-JalalaynAnd those who disbelieve say, ‘Why has not some sign been sent down upon him, upon Muhammad (s), from his Lord!’, the like of the staff and the [glowing] hand, or the she-camel. God, exalted be He, says: You are only a warner, one to threaten the disbelievers, for it is not your duty to bring forth signs
Nadhani nilishakuelimisha vizuri tu post yangu ya nyuma najua unajichanganya hapa 😊 .

Mitume hawana uwezo wa kuamuru kitu kwa amri zao wenyewe means hawana devine power yoyote ile ni binadamu kama sisi na wametokana na umma husika ila wao wamepewa cheo cha utume means ni waonyaji .

Miujiza inatoka kwa Allah (The exalted one) peke yake means yeye ndo anaaiamrisha bahari ipasuke kupitia dua itakayoombwa na mtume husika na pia atajalia sababu ambayo itakuwa ni chochote alichonacho huyo mtume kwa musa sababu ilikuwa ni fimbo yake kisha aKagusa maji kwa fimbo .

Walichokuwa wanataka wao ni kuona yeye nafanya maajabu kitu ambacho ni ngumu kwa kuwa hana maajabu/miujiza yeye kama yeye hana miujiza .

Na walipizidi ilibidi aombe dua na Allah (the exalted one) akaruhu miujiza itokee akafanya mchana kuwa usiku ,akapasua mwezi pande mbili yoote hayo si kwa amri yake ila ni Allah ( The exalted one). Ndo aliruhusu .

Na Qur-an kuwa ya ajabu unapings nini kwani hii qur-an si ni maneno ya Allah(the exalted one) na maajabu yake ni kwamba haijawahi kubadilika na imetabiri haliyotokea kweli na imechs challenges ambazo mpaka sasa hazijawahi kutimizwa mpaka kiama kisimame 🤣🤣🤣.

Sijajua unakaza kichwa wapi.
 
Walio amini ni nyinyi ambao hamkuyachukua mafundisho ya nabii Issa kama yalivyo.

Alichofanya Allah ni kumuokoa mja wake kutokana na watu waovu sasa ajabu unauliza swali lisilo na msingi,kwamba wakaachwa waamini,mimi nitakuuliza ni kina nani waliachwa wakaamini na kisha wakalaaniwa na kwanini wakalaaniwa ?

Maana sisi wa leo tu tunajua ya kuwa nabii Issa(Yesu) hakuuliwa wala hakusulubiwa.

Wewe leo hii mpaka unakufa huwezi kuweka andiko sahihi linalothibitisha ya kuwa Yesu alisulubiwa na alikufa. Huna andiko sahihi juu ya hilo.
Isa bandia alisulubiwa au la?
 
Hakuna bible ya yohana Kuna injili aliyo andika yohana, bible watu tumekariri cover to cover
Embu jitokezeni ple uwanja wa taifa kma waislamu wafanyavo tujue kweli mumeikariri iyo bible yenu
 
Hamna kitu humu kuna mmoja nikaona amemsifia kwamba anaujia uislamu,nikasema aisee.

Kuna lingine nimemuuliza atuwekee aya 10 alizo dai zilikuwepo kisha zikafutwa mpaka kufikia 5 kisha zikafutwa zote,atuambie zilikuwa ni aya gani ? Hajajibu hilo swali.
Aisha kasema unyeshaji ikuwa mara 10 Allah akapunguza mpaka 5 , na akasema Aya zililiwa na mbuzi , sasa unataka Mimi niweke nizitoe wapi wakati zimeliwa na mbuzi?
 
Nipe ushahidi ya kuwa hiyo Injili kweli aliiandika Yohana.
Sio mada wala sio swali , tutumie kilichokuwepo na ndio maana umeona hakuna Koran ya muhammad ipo ya Hafs na tunatumia iliyopo japokuwa ina sura zimeliwa na mbuzi
 
ULIDAI KWAMBA KORAN NI MUUJIZA
ALLAH ALISHA SEMA HANA MUUJIZA WOWOTE KWA MUHAMMAD

Koran 17:59 "And We refrain from sending the signs, only because the men of former generations treated them as false."
Aya inasema hivi :

59. Na hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza ila ni kuwa watu wa zamani waliikanusha. Na tuliwapa Wathamudi ngamia jike kuwa ni Ishara iliyo dhaahiri, lakini walidhulumu kwaye. Nasi hatupeleki Ishara ila kwa ajili ya kuhadharisha. (al-Israa :59)

Hii miujiza kupeleka wapi ?

Wapi Allah amesema hana muujiza wowote kwa Mtume ?

Safari ya Israa na Mirani ni muujiza au siyo muujiza ? Kupasuka kwa mwezi ni muujiza au si muujiza ?

Na ulivyo kuwa mjinga umeweka aya ambayo inaonyesha muujiza kwa mtume Muhammad na rejea aya katika sura ar-Ruum inaonyesha kupasuka kwa mwezi na kuna miujiza mingi aliifanya Mtume.

Hivi ujuaji huwa unaupata wapi kijana ?
Watu walimbana muhammad kwa nini hana muujiza WOWOTE , Allah akashusha Aya akasema muhammad hana muujiza yeye ni muonyaji tu
Suala la watu kuomba kufanyiwa miujiza ni desturi ya watu wa kale na si mtume peke yake aliombwa kufanya miujiza wapo kina nabii Musa na wengine.

Muujiza ilikuwa ni njia miongoni mwa njia za kuwafanya wasio waamini mitume na manabii wawaamini mitume hao. Kwahiyo hapa huna hoja.
 
Nimecheka Sana
Muhammad alichanganya Miriam na Maryam , Yani aluweka kabisa na harun

Dada yake Musa aliita Miriam naona na wewe unachanganya kama muhammad
Ukiangalia in Aramaic hebrew lugha ambayo aliiongea masihi yesu "miriam" kama mnavyoitamka inaandikwa hivi "myriam" na inatamkwa kama hivi "maryam" tafuta bible yoyote iliyoandika in aramaic hebrew kisha soma old testament uangalie maryam inavyoandikwa na kusomeka.

Shida ilikuja pale wagiriki walipoitafsiri old testament na kuileta kwenye "koinee greek" kutokana na tofauti za kimatamshi wakatamka "miriam" badala ya maryam.

Ndiyo mana qur-an ime maintain its authenticity kwa sababu hakuna ujing wa hivyo 😊
 
Aisha kasema unyeshaji ikuwa mara 10 Allah akapunguza mpaka 5 , na akasema Aya zililiwa na mbuzi , sasa unataka Mimi niweke nizitoe wapi wakati zimeliwa na mbuzi?
Weka hizo aya.
 
Aya inasema hivi :

59. Na hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza ila ni kuwa watu wa zamani waliikanusha. Na tuliwapa Wathamudi ngamia jike kuwa ni Ishara iliyo dhaahiri, lakini walidhulumu kwaye. Nasi hatupeleki Ishara ila kwa ajili ya kuhadharisha. (al-Israa :59)

Hii miujiza kupeleka wapi ?

Wapi Allah amesema hana muujiza wowote kwa Mtume ?

Safari ya Israa na Mirani ni muujiza au siyo muujiza ? Kupasuka kwa mwezi ni muujiza au si muujiza ?

Na ulivyo kuwa mjinga umeweka aya ambayo inaonyesha muujiza kwa mtume Muhammad na rejea aya katika sura ar-Ruum inaonyesha kupasuka kwa mwezi na kuna miujiza mingi aliifanya Mtume.

Hivi ujuaji huwa unaupata wapi kijana ?

Suala la watu kuomba kufanyiwa miujiza ni desturi ya watu wa kale na si mtume peke yake aliombwa kufanya miujiza wapo kina nabii Musa na wengine.

Muujiza ilikuwa ni njia miongoni mwa njia za kuwafanya wasio waamini mitume na manabii wawaamini mitume hao. Kwahiyo hapa huna hoja.
Weka ushahidi nani aliona hii safari

Allah kasema amezuia miujiza wewe unasemaje?

WeKa UshaIdi Nani AlionA Hii SAFAri
Safari ya Israa na Mirani ni muujiza au siyo muujiza ? Kupasuka kwa mwezi ni muujiza au si muujiza ?

MAana nImESomA Mke Mtoto Aisha Kasema AlimuONa KalaLA MdA Wote
 
Sio mada wala sio swali , tutumie kilichokuwepo na ndio maana umeona hakuna Koran ya muhammad ipo ya Hafs na tunatumia iliyopo japokuwa ina sura zimeliwa na mbuzi
Hafsi hana Qur'aan hili nilishakuelewesha usijitoe ufahamu. Na kuna namna kumi za usomaji wa Qur'aan na zote zilithibiti zama za mtume.

Hafs ni imamu wa Qur'aan namna ya usomaji wa Qur'aan alipokea toka kwa imamu Asswim na yeye akapokea kwa mwingine mpaka kwa mtume na kuna namna kumi za usomaji. Sisi watu wa Afrika mashariki tunasoma kwa usomaji wa imamu Hafsi,watu wa kaskazini wanasoma uzomaji wa Warshi na wengine na wengine.

Sasa unaposema tuna Qur'aan ya Hafs unaonekana huijui Qur'aan kijana ndiyo maana hujawahi kupatia katika hoja zako.

Swali langu liko pale pale nithibitishie ya kuwa Injili ya Yohana aliandika Yohana mwenyewe. Usikimbie maswal ina usiulinganishe Uislamu na dini yoyote ile wala Qur'aan na kitabu chochote kile.
 
Ukiangalia in Aramaic hebrew lugha ambayo aliiongea masihi yesu "miriam" kama mnavyoitamka inaandikwa hivi "myriam" na inatamkwa kama hivi "maryam" tafuta bible yoyote iliyoandika in aramaic hebrew kisha soma old testament uangalie maryam inavyoandikwa na kusomeka.

Shida ilikuja pale wagiriki walipoitafsiri old testament na kuileta kwenye "koinee greek" kutokana na tofauti za kimatamshi wakatamka "miriam" badala ya maryam.

Ndiyo mana qur-an ime maintain its authenticity kwa sababu hakuna ujing wa hivyo 😊
Ndipo muhammad akachanganya dada wa Musa na mama wa Yesu
 
Back
Top Bottom