Nilianza kwenye point kisha nikaja kwenye lugha.Jikite kwenye point issue ya lugha inajulikana
Vile vile si lila mtu anafaa kujibiwa wengina nawapuuza kwa kuandika ujinga na uongo ulio wazi,na wewe miongoni mwa hao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilianza kwenye point kisha nikaja kwenye lugha.Jikite kwenye point issue ya lugha inajulikana
Nimeshakumaliza hujui dini YakoHuna ulijualo ww KAFIRI
Hana alijualo uyoKwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?
Allah akufanyie wepesi ujue Uislamu kabla ya kufarikiNimeshakumaliza hujui dini Yako
Huyu mkristo ndio aliandika sura ndefu Sana kwenye Koran , na akasema wazi muhammad hajui nilicho muandikia
Hakuna bible ya yohana Kuna injili aliyo andika yohana, bible watu tumekariri cover to cover[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mjinga katika ubora wake
watu wanakariri vitabu vya sheria ije kua iyo bible ya yohana
Embu funguka akili ww kwaio wakristo hawawezi kuhifadhi bible yao?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Dini ya Uislamu ni dini nyepesi mnoo ttzo lko ww unapenda mabishano hlf ata huna Elimu na kuelimishwa hutki m ndo mna nakuona kma mjinga tu ivi ulopotea njia
Hamna kitu humu kuna mmoja nikaona amemsifia kwamba anaujia uislamu,nikasema aisee.Hana alijualo uyo
lile swali ulomuuliza khsu maana ya hadith, qur'an na sunna mpk leo hajajibu
Nadhani nilishakuelimisha vizuri tu post yangu ya nyuma najua unajichanganya hapa 😊 .ULIDAI KWAMBA KORAN NI MUUJIZA
ALLAH ALISHA SEMA HANA MUUJIZA WOWOTE KWA MUHAMMAD
Koran 17:59 "And We refrain from sending the signs, only because the men of former generations treated them as false."
Watu walimbana muhammad kwa nini hana muujiza WOWOTE , Allah akashusha Aya akasema muhammad hana muujiza yeye ni muonyaji tu
13:7 Jalal - Al-JalalaynAnd those who disbelieve say, ‘Why has not some sign been sent down upon him, upon Muhammad (s), from his Lord!’, the like of the staff and the [glowing] hand, or the she-camel. God, exalted be He, says: You are only a warner, one to threaten the disbelievers, for it is not your duty to bring forth signs
Nipe ushahidi ya kuwa hiyo Injili kweli aliiandika Yohana.Hakuna bible ya yohana Kuna injili aliyo andika yohana, bible watu tumekariri cover to cover
Isa bandia alisulubiwa au la?Walio amini ni nyinyi ambao hamkuyachukua mafundisho ya nabii Issa kama yalivyo.
Alichofanya Allah ni kumuokoa mja wake kutokana na watu waovu sasa ajabu unauliza swali lisilo na msingi,kwamba wakaachwa waamini,mimi nitakuuliza ni kina nani waliachwa wakaamini na kisha wakalaaniwa na kwanini wakalaaniwa ?
Maana sisi wa leo tu tunajua ya kuwa nabii Issa(Yesu) hakuuliwa wala hakusulubiwa.
Wewe leo hii mpaka unakufa huwezi kuweka andiko sahihi linalothibitisha ya kuwa Yesu alisulubiwa na alikufa. Huna andiko sahihi juu ya hilo.
Embu jitokezeni ple uwanja wa taifa kma waislamu wafanyavo tujue kweli mumeikariri iyo bible yenuHakuna bible ya yohana Kuna injili aliyo andika yohana, bible watu tumekariri cover to cover
Aisha kasema unyeshaji ikuwa mara 10 Allah akapunguza mpaka 5 , na akasema Aya zililiwa na mbuzi , sasa unataka Mimi niweke nizitoe wapi wakati zimeliwa na mbuzi?Hamna kitu humu kuna mmoja nikaona amemsifia kwamba anaujia uislamu,nikasema aisee.
Kuna lingine nimemuuliza atuwekee aya 10 alizo dai zilikuwepo kisha zikafutwa mpaka kufikia 5 kisha zikafutwa zote,atuambie zilikuwa ni aya gani ? Hajajibu hilo swali.
Hatunaga hiyo michezo , ila ukisikiliza mahubiri utasikia wanavyo taja mistariEmbu jitokezeni ple uwanja wa taifa kma waislamu wafanyavo tujue kweli mumeikariri iyo bible yenu
Sio mada wala sio swali , tutumie kilichokuwepo na ndio maana umeona hakuna Koran ya muhammad ipo ya Hafs na tunatumia iliyopo japokuwa ina sura zimeliwa na mbuziNipe ushahidi ya kuwa hiyo Injili kweli aliiandika Yohana.
Aya inasema hivi :ULIDAI KWAMBA KORAN NI MUUJIZA
ALLAH ALISHA SEMA HANA MUUJIZA WOWOTE KWA MUHAMMAD
Koran 17:59 "And We refrain from sending the signs, only because the men of former generations treated them as false."
Suala la watu kuomba kufanyiwa miujiza ni desturi ya watu wa kale na si mtume peke yake aliombwa kufanya miujiza wapo kina nabii Musa na wengine.Watu walimbana muhammad kwa nini hana muujiza WOWOTE , Allah akashusha Aya akasema muhammad hana muujiza yeye ni muonyaji tu
Ukiangalia in Aramaic hebrew lugha ambayo aliiongea masihi yesu "miriam" kama mnavyoitamka inaandikwa hivi "myriam" na inatamkwa kama hivi "maryam" tafuta bible yoyote iliyoandika in aramaic hebrew kisha soma old testament uangalie maryam inavyoandikwa na kusomeka.Nimecheka Sana
Muhammad alichanganya Miriam na Maryam , Yani aluweka kabisa na harun
Dada yake Musa aliita Miriam naona na wewe unachanganya kama muhammad
Issa(Yesu) bandia ni Issa au siyo Issa (Yesu) ?Isa bandia alisulubiwa au la?
Weka hizo aya.Aisha kasema unyeshaji ikuwa mara 10 Allah akapunguza mpaka 5 , na akasema Aya zililiwa na mbuzi , sasa unataka Mimi niweke nizitoe wapi wakati zimeliwa na mbuzi?
Weka ushahidi nani aliona hii safariAya inasema hivi :
59. Na hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza ila ni kuwa watu wa zamani waliikanusha. Na tuliwapa Wathamudi ngamia jike kuwa ni Ishara iliyo dhaahiri, lakini walidhulumu kwaye. Nasi hatupeleki Ishara ila kwa ajili ya kuhadharisha. (al-Israa :59)
Hii miujiza kupeleka wapi ?
Wapi Allah amesema hana muujiza wowote kwa Mtume ?
Safari ya Israa na Mirani ni muujiza au siyo muujiza ? Kupasuka kwa mwezi ni muujiza au si muujiza ?
Na ulivyo kuwa mjinga umeweka aya ambayo inaonyesha muujiza kwa mtume Muhammad na rejea aya katika sura ar-Ruum inaonyesha kupasuka kwa mwezi na kuna miujiza mingi aliifanya Mtume.
Hivi ujuaji huwa unaupata wapi kijana ?
Suala la watu kuomba kufanyiwa miujiza ni desturi ya watu wa kale na si mtume peke yake aliombwa kufanya miujiza wapo kina nabii Musa na wengine.
Muujiza ilikuwa ni njia miongoni mwa njia za kuwafanya wasio waamini mitume na manabii wawaamini mitume hao. Kwahiyo hapa huna hoja.
Allah kasema amezuia miujiza wewe unasemaje?Aya inasema hivi :
59. Na hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza ila ni kuwa watu wa zamani waliikanusha. Na tuliwapa Wathamudi ngamia jike kuwa ni Ishara iliyo dhaahiri, lakini walidhulumu kwaye. Nasi hatupeleki Ishara ila kwa ajili ya kuhadharisha. (al-Israa :59)
Hii miujiza kupeleka wapi ?
Wapi Allah amesema hana muujiza wowote kwa Mtume ?
Safari ya Israa na Mirani ni muujiza au siyo muujiza ? Kupasuka kwa mwezi ni muujiza au si muujiza ?
Na ulivyo kuwa mjinga umeweka aya ambayo inaonyesha muujiza kwa mtume Muhammad na rejea aya katika sura ar-Ruum inaonyesha kupasuka kwa mwezi na kuna miujiza mingi aliifanya Mtume.
Hivi ujuaji huwa unaupata wapi kijana ?
Suala la watu kuomba kufanyiwa miujiza ni desturi ya watu wa kale na si mtume peke yake aliombwa kufanya miujiza wapo kina nabii Musa na wengine.
Muujiza ilikuwa ni njia miongoni mwa njia za kuwafanya wasio waamini mitume na manabii wawaamini mitume hao. Kwahiyo hapa huna hoja.
Hafsi hana Qur'aan hili nilishakuelewesha usijitoe ufahamu. Na kuna namna kumi za usomaji wa Qur'aan na zote zilithibiti zama za mtume.Sio mada wala sio swali , tutumie kilichokuwepo na ndio maana umeona hakuna Koran ya muhammad ipo ya Hafs na tunatumia iliyopo japokuwa ina sura zimeliwa na mbuzi
Ndipo muhammad akachanganya dada wa Musa na mama wa YesuUkiangalia in Aramaic hebrew lugha ambayo aliiongea masihi yesu "miriam" kama mnavyoitamka inaandikwa hivi "myriam" na inatamkwa kama hivi "maryam" tafuta bible yoyote iliyoandika in aramaic hebrew kisha soma old testament uangalie maryam inavyoandikwa na kusomeka.
Shida ilikuja pale wagiriki walipoitafsiri old testament na kuileta kwenye "koinee greek" kutokana na tofauti za kimatamshi wakatamka "miriam" badala ya maryam.
Ndiyo mana qur-an ime maintain its authenticity kwa sababu hakuna ujing wa hivyo 😊