Ushahidi wa mtu mmoja unakubalia au haukubaliwi ?Weka ushahidi nani aliona hii safari
Qur'aan inashuhudia hili na mjadala baina ya aliyoyaona mtume na wale waqureishi unathibitisha ukweli wa safari hii.
Hakuna sehemu aliyosema amezuia miujiza haya unayasema wewe nimekuwekea aya ambayo unapotosha maana yake.Allah kasema amezuia miujiza wewe unasemaje?
Unarudia swali nimeshakujibu tayari.WeKa UshaIdi Nani AlionA Hii SAFAri
Safari ya Israa na Mirani ni muujiza au siyo muujiza ? Kupasuka kwa mwezi ni muujiza au si muujiza ?
Hahaha. Kijana kwanini husomi ?MAana nImESomA Mke Mtoto Aisha Kasema AlimuONa KalaLA MdA Wote