Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Weka ushahidi nani aliona hii safari
Ushahidi wa mtu mmoja unakubalia au haukubaliwi ?

Qur'aan inashuhudia hili na mjadala baina ya aliyoyaona mtume na wale waqureishi unathibitisha ukweli wa safari hii.
Allah kasema amezuia miujiza wewe unasemaje?
Hakuna sehemu aliyosema amezuia miujiza haya unayasema wewe nimekuwekea aya ambayo unapotosha maana yake.
WeKa UshaIdi Nani AlionA Hii SAFAri
Safari ya Israa na Mirani ni muujiza au siyo muujiza ? Kupasuka kwa mwezi ni muujiza au si muujiza ?
Unarudia swali nimeshakujibu tayari.
MAana nImESomA Mke Mtoto Aisha Kasema AlimuONa KalaLA MdA Wote
Hahaha. Kijana kwanini husomi ?
 
Kuna jamaa Anasema Allah ni jina La kwanza la shetani kule kuzimu na maka mnaenda kutoa sadaka ya Damu ndo maana mtu akitoka maka anatusua kimaisha.. Yupo Youtubu Ukiandika Cosmas Matthias. Evidence za huyu jamaa sio za kisomi Lakini anafact alizo fanya yeye Maana anachokieleza ni moja ya maisha aliyo yapitia ipo sehem 1,2,3&4 Ukianza huchoki kuzifatilia hapo ndo utajua Hizi Dini zinahitaji Hakili nyingi sana kwenye uchagua sio majarida yaliyoandikwatu na watu..Unakurupuka kuamini :-
Link [emoji116]

Cosmas Matthias
 
Hafsi hana Qur'aan hili nilishakuelewesha usijitoe ufahamu. Na kuna namna kumi za usomaji wa Qur'aan na zote zilithibiti zama za mtume.

Hafs ni imamu wa Qur'aan namna ya usomaji wa Qur'aan alipokea toka kwa imamu Asswim na yeye akapokea kwa mwingine mpaka kwa mtume na kuna namna kumi za usomaji. Sisi watu wa Afrika mashariki tunasoma kwa usomaji wa imamu Hafsi,watu wa kaskazini wanasoma uzomaji wa Warshi na wengine na wengine.

Sasa unaposema tuna Qur'aan ya Hafs unaonekana huijui Qur'aan kijana ndiyo maana hujawahi kupatia katika hoja zako.

Swali langu liko pale pale nithibitishie ya kuwa Injili ya Yohana aliandika Yohana mwenyewe. Usikimbie maswal ina usiulinganishe Uislamu na dini yoyote ile wala Qur'aan na kitabu chochote kile.
Acha kupotosha , Koran imeandikwa kwenye karatasi kutokea kwa Hafs , na hakuna original matini kabla ya Hafs , Yani ni masimulizi kutoka kwa kuto kwa kuto kwa mlolongo mrefu
 
Allah kasema amezuia miujiza kwa sababu kizazi kilicho pita kilikuwa hakiamini, pia akasema msimbane Muhammad kutaka muujiza maana yeye ni muonyaji tu
😅😅 Means kwa muhammad ( swalallah alleyh wasalam) aliiruhusu na ndiyo miujiza aliyoifanya kwa waabudu sanamu wa makka hope umeifuatilia .

Na hakuna sehemu imebainiswa kuwa Allah (the exalted one) alimnyima the prophet kufanya miujiza ( kwa amri yake) kama ipo onyesha.
 
Ushahidi wa mtu mmoja unakubalia au haukubaliwi ?

Qur'aan inashuhudia hili na mjadala baina ya aliyoyaona mtume na wale waqureishi unathibitisha ukweli wa safari hii.

Hakuna sehemu aliyosema amezuia miujiza haya unayasema wewe nimekuwekea aya ambayo unapotosha maana yake.

Unarudia swali nimeshakujibu tayari.

Hahaha. Kijana kwanini husomi ?
Nimecheka kwa nguvu , hakuna mtu aliona muhammad akipanda punda mwenye mabawa ,ila ni yeye mwenyewe kaja na stori,

Kasome bible uone watu walikuwa wanaona muujiza , kipofu anaona mbele za watu , mfu anafufuliwa mbele za watu
 
Ndipo muhammad akachanganya dada wa Musa na mama wa Yesu
Hakuna alipochanganya wewe ndo umejichanganya sasa ,kuna ishu inaitwa "long removed" kwenye geneology hasa kwa cousins hii inaonesha separation of generation kati ya mabinamu .

Maryam mama wa yesu alirithi hilo jina kwa maryam dada wa musa vivyo hivyo kwa baba yake alirithi jina hilo kwa baba wa musa aliyeitwa imran pia.

Na ukiangalia upande wa mama wa yesu ndipo ukoo mmoja na musa though genration wise wamepishana (rejea ishu ya long removed).

So Allah (The almighty) anapoongelea kitu huwa hakosei maana ndo anayejua history nzima in dertails.
 
😅😅 Means kwa muhammad ( swalallah alleyh wasalam) aliiruhusu na ndiyo miujiza aliyoifanya kwa waabudu sanamu wa makka hope umeifuatilia .

Na hakuna sehemu imebainiswa kuwa Allah (the exalted one) alimnyima the prophet kufanya miujiza ( kwa amri yake) kama ipo onyesha.
Naona lugh ya malkia inakupiga chenga kama ndugu Yako Mubarridi
Refrain maana yake tumezuia kutoa miujiza
Koran 17:59 "And We refrain from sending the signs, only because the men of former generations treated them as false."

Watu walimbana muhammad kwa nini hana muujiza WOWOTE , Allah akashusha Aya akasema muhammad hana muujiza yeye ni muonyaji tu

13:7 Jalal - Al-JalalaynAnd those who disbelieve say, ‘Why has not some sign been sent down upon him, upon Muhammad (s), from his Lord!’, the like of the staff and the [glowing] hand, or the she-camel. God, exalted be He, says: You are only a warner, one to threaten the disbelievers, for it is not your duty to bring forth signs
 
Hakuna alipochanganya wewe ndo umejichanganya sasa ,kuna ishu inaitwa "long removed" kwenye geneology hasa kwa cousins hii inaonesha separation of generation kati ya mabinamu .

Maryam mama wa yesu alirithi hilo jina kwa maryam dada wa musa vivyo hivyo kwa baba yake alirithi jina hilo kwa baba wa musa aliyeitwa imran pia.

Na ukiangalia upande wa mama wa yesu ndipo ukoo mmoja na musa though genration wise wamepishana (rejea ishu ya long removed).

So Allah (The almighty) anapoongelea kitu huwa hakosei maana ndo anayejua history nzima in dertails.
Kachanganya Sana Yani mapaka harun ndugu yake Musa ni dada wa Maryam

Huyu issa Yesu alietengenezwa nauhamma alikuwa ni ndugu Musa na harun , na kumbuka hii surah kaandika mkristo na akamuingiza Chaka muhammad

  • Tunaona kwenye koran inamtaja Issa, Babu yake ni Imran na Uncle zake ni Haruni na Mussa
    3;35.
    Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
    36.
    Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
    19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
    66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
 
Hatunaga hiyo michezo , ila ukisikiliza mahubiri utasikia wanavyo taja mistari
Ilo bible lenu hamuwezi kulikariri ndo mna we sema ivo tuu usianze kuleta porojo nyngne
 
Acha kupotosha , Koran imeandikwa kwenye karatasi kutokea kwa Hafs , na hakuna original matini kabla ya Hafs , Yani ni masimulizi kutoka kwa kuto kwa kuto kwa mlolongo mrefu
Hujawahi kuwa hoja ya mashiko. Una ruka ruka swali langu ni kuwa nani amekwambia kuna Qur'aan ya Hafsi ?

Sasa nakuuliza swali wewe,imamu Hafsi amepokea toka kwa nani ?

Kingine suala la kwa kuandikwa Qur'aan na kuwa katika nakala moja ilikuwa ni kwa marejeo na ndiyo maana zikaa kuandikwa nakala tano na swahaba Uthman na kusambazwa katika miji mitano,lakini watu walikuwa wamehifadhi kwenye vifua. Katika nakala tano hizo ni kwa ajili ya marejeo,baadae ndiyo zikaandikwa na kutolewa nakala nyingi mpaka zikatufikia hapa. Usikimbie swali.

Swali langu ni kuwa nani amekwambia kuna Qur'aan ya Hafs ?

Kingine chain/sanadi ndiyo dini,ndiyo maana kwenye dini yenu kuna uongo mwingi sababu hamna chain ya wapokezi wa habari zenu.
 
Nilianza kwenye point kisha nikaja kwenye lugha.

Vile vile si lila mtu anafaa kujibiwa wengina nawapuuza kwa kuandika ujinga na uongo ulio wazi,na wewe miongoni mwa hao.
Unasema Koran na hadith ni uongo Ulio wazi? Maana naweka maandiko Yako
 
Hujawahi kuwa hoja ya mashiko. Una ruka ruka swali langu ni kuwa nani amekwambia kuna Qur'aan ya Hafsi ?

Sasa nakuuliza swali wewe,imamu Hafsi amepokea toka kwa nani ?

Kingine suala la kwa kuandikwa Qur'aan na kuwa katika nakala moja ilikuwa ni kwa marejeo na ndiyo maana zikaa kuandikwa nakala tano na swahaba Uthman na kusambazwa katika miji mitano,lakini watu walikuwa wamehifadhi kwenye vifua. Katika nakala tano hizo ni kwa ajili ya marejeo,baadae ndiyo zikaandikwa na kutolewa nakala nyingi mpaka zikatufikia hapa. Usikimbie swali.

Swali langu ni kuwa nani amekwambia kuna Qur'aan ya Hafs ?

Kingine chain/sanadi ndiyo dini,ndiyo maana kwenye dini yenu kuna uongo mwingi sababu hamna chain ya wapokezi wa habari zenu.
Nakuonya usidanganye hapa , hakuna matini ya uthuman , matini iliyopo ni kwa mujibu wa Hafs, acha uongo tuendelee na debate
ALlaH ANalwambia unahufadhi kifuani ina maana alikuwa hajui ubongo ni nini?
 
Nimecheka kwa nguvu , hakuna mtu aliona muhammad akipanda punda mwenye mabawa ,ila ni yeye mwenyewe kaja na stori,

Kasome bible uone watu walikuwa wanaona muujiza , kipofu anaona mbele za watu , mfu anafufuliwa mbele za watu
Usikimbie hoja na ukiulizwa maswali jibu.

Kuto onwa hakumaanishi ya kuwa jambo halikuwepo.

Wewe ulimuona Yesu akihubiri Injili ? Sasa kipi kinakufanya uamimi ya kuwa Yesu alihubiri Injili ?

Pili,habari za Yesu alikuwa anazisimulia nani ? Naomba uniwekee chain ya upokezi wa habari za Yesu mpaka kufika kwake ? Swali kipi kimekufanya uamini ya kuwa kweli aliponya watu ?
 
Miujiza ya Yesu imeandikwa wazi kwamba watu waliona
Injili ya Yesu kifupi ni Holy spirit kwenda kwa mwandishi , nani aliona muhammad kapanda punda mwenye mabawa? Alafu Allah alisema kwenda adi kwake ambapo amekaa kwenye kiti na kina bebwa na Malaika 8 ni miaka elfu mpaka elfu 5, Muhammad aliwezaje kwa massa machache?
 
Wapi nimesema hilo ?
Nilikwambia Aisha kasema kunyonyesha mtu mzima ilikuwa mara 10 Allah akashusha ikawa mara 5 wewe unasema ni uongo wa wazi sasa wewe na mke mtoto wa Muhammad nani mkweli

Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....

Verse zilikuwepo
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings).
Sahih Muslim 1452a
'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).

Au kwa sababu mke wa muhammad mtoto wa miaka 6 Aisha tusiamini ushahidi wake?
 
Nakuonya usidanganye hapa , hakuna matini ya uthuman , matini iliyopo ni kwa mujibu wa Hafs, acha uongo tuendelee na debate
ALlaH ANalwambia unahufadhi kifuani ina maana alikuwa hajui ubongo ni nini?
Usijitoe ufahamu kijana,umesema kuja Qur'aan ya Hafs,ndiyo utuambie iko wapi.

Kwani Hafsi yeye amepata wapi ? Alimuona mtume ?

Hakuna matini ya Hafsi bali kuna Qur'aan ya hati ya Uthmaan (Ar-Rasmi al 'Uthmaan) na kuna viraa (namna ya usomaji sampuli kumi).

Ngoja nikuulize swali dogo,ukisikia Hafs unaelewa nini ?
 
Nikisikia Hafs kwa mujibu wa waislamu ni muongo na muiba kazi za uandishi za watu, ila waislamu walimuamini hivyo hivyo aseme koran aliyokariri waiandike , hakuna matini ya uthuman Dunia nzima , labda uko mbeleni mje muichimbe chini
 
Back
Top Bottom