Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Nikakuuliza ni aya zipi hizo na je hizo aya alikuwa nazo pekee mama Aisha na lini tukio hili lilitokea,sababu baada ya Mtume kufariki swahaba Abuubakr alitoa maoni Qur'aan ikusanywe yote na iwe katika kitabu kimoja na pia kuchelea wale walio hifadhi Qur'aan huenda wakafa na wali kuwa wengi.

Sasa unaposema kipande kililiwa na mbuzi je hizo aya hazikuwepo sehemu nyingine yoyote hali ya kuwa tunajua kabisa walikuwepo maswahaba wamehifadhi Qur'aan yote tangu Mtume yuko hai. Unaelewa ninacho kiandika ? Ukija uje na majibu ya maswali yangu.
Naomba mpe mtu anae elewa kingereza akusomee na akueleweshe hizi hadith au nenda azisome kwa lugha unayo elewa

  • Matendo ya kunyonyesha watu wazima yalikuwepo yalianza kwa kunyonyesha mara kumi
    • ..... A'isha umm al-muminin sent him away while he was being nursed to her sister Umm Kulthum bint Abi Bakr as-Siddiq and said, "Suckle him ten times so that he can come in to see me."Salim said, "Umm Kulthum nursed me three times and then fell ill, so that she only nursed me three times. I could not go in to see A'isha because Umm Kulthum did not finish for me the ten times." Book 30, Hadith 7
    • Sahih-Muslim 1453e:....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....
  • Aisha anathibitisha aya kutoka kwa Allah zilikuwepo , na anasema unyonyeshaji ulishushwa na Allah kutoka mara 10 kwenda mara 5
    • Sahih Muslim 1452b
      ...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings).

    • Sahih Muslim 1452a 'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).
  • Aisha anasema zililiwa na mbuzi wakati wakiwa bize na mazishi ya muhammad, watu walikuwa wana recite
  • It was narrated that 'Aishah said: Sunan Ibn Majah 1944 “The Verse of stoning and of breastfeeding an adult ten times was revealed1, and the paper was with me under my pillow. When the Messenger of Allah died, we were preoccupied with his death, and a tame sheep came in and ate it.
  • Muhammad kafa verses za unyonyeshaji zipo , baati mbaya mbuzi kala zile verse, ila watu walikuwa wamekariri, swali langu kwa nini kwenye koran leo hii hazipo?
 
Kutangulia kwa sura ya 17 au 54 umeuliza swali linalo onyesha ya kuwa huijui Qur'aan. Qur'aan ilikuwa inashuka mara nyingi kwa aya bali ni sura chache zisizo zidi tatu au tano ndiyo zimeshuka kamili tena zile sura fupi fupi.

Kwahiyo swali lako ili liwe sahihi useme ni aya gani katika hizo sura ilianza kushuka. Sababu upangaji wa aya aliufanya mtume,unakuta leo hii imeshuka aua fulani Mtume anawaambia maswahaba aya hii nendeni muiweke kwenye sura hii au aya hii kaiwekeni katika sura fulani.
najua unaelewa swali
kati ya 17:59 na 54:1-2 ipi ilitangulia , mbana maelezo marefu sana
 
Naomba mpe mtu anae elewa kingereza akusomee na akueleweshe hizi hadith au nenda azisome kwa lugha unayo elewa

  • Matendo ya kunyonyesha watu wazima yalikuwepo yalianza kwa kunyonyesha mara kumi
    • ..... A'isha umm al-muminin sent him away while he was being nursed to her sister Umm Kulthum bint Abi Bakr as-Siddiq and said, "Suckle him ten times so that he can come in to see me."Salim said, "Umm Kulthum nursed me three times and then fell ill, so that she only nursed me three times. I could not go in to see A'isha because Umm Kulthum did not finish for me the ten times." Book 30, Hadith 7
    • Sahih-Muslim 1453e:....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....
  • Aisha anathibitisha aya kutoka kwa Allah zilikuwepo , na anasema unyonyeshaji ulishushwa na Allah kutoka mara 10 kwenda mara 5
    • Sahih Muslim 1452b
      ...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings).

    • Sahih Muslim 1452a 'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).
  • Aisha anasema zililiwa na mbuzi wakati wakiwa bize na mazishi ya muhammad, watu walikuwa wana recite
  • It was narrated that 'Aishah said: Sunan Ibn Majah 1944 “The Verse of stoning and of breastfeeding an adult ten times was revealed1, and the paper was with me under my pillow. When the Messenger of Allah died, we were preoccupied with his death, and a tame sheep came in and ate it.
  • Muhammad kafa verses za unyonyeshaji zipo , baati mbaya mbuzi kala zile verse, ila watu walikuwa wamekariri, swali langu kwa nini kwenye koran leo hii hazipo?
Unarudia mambo ambayo yako wazi kisha unazua kwamba hujaeleweka sasa mimi ninae soma toka kwenye lugha asili na wewe unae okoteza tarjama za kiingereza nani yuko sahihi ?

Kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?
 
najua unaelewa swali
kati ya 17:59 na 54:1-2 ipi ilitangulia , mbana maelezo marefu sana

Sura ya 54 aya ya 1 na ya 2 ni hizi :

54_1.gif

1. Saa imekaribia, na mwezi umepasuka!

54_2.gif

2. Na wakiona Ishara hugeuka upande na husema: Huu uchawi tu unazidi kuendelea
(Al-Qamar : 1-2)

Na sura ya 17 aya ya 59 ni :

59. Na hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza ila ni kuwa watu wa zamani waliikanusha. Na tuliwapa Wathamudi ngamia jike kuwa ni Ishara iliyo dhaahiri, lakini walidhulumu kwaye. Nasi hatupeleki Ishara ila kwa ajili ya kuhadharisha. (Al-Israa : 59).

Tukio la kupasuka kwa mwezi limetokea kwa Mtume na huu ni muujiza ila wali kanusha kama ilivyo kawaida ya Washirikina na watu waouvu wa zamani.

Sura zote hizo zimeshuka mtume akiwa Makka yaani kabla ya Hijrah kuhama kwenda Madina. Yaani Makkiya.Sura ya 54 ilianza kabla ya sura ya 17 kwa maana ya aya husika.
 
Hili tukio la Kupasua mwezi , watu wa kipindi cha muhammad waliona au ilikuwa kama ile safari?
 
Mnaongea kaaba kuwepo kabla ya mtume mnasahau kua hata sisi tunafaham ilo na hatwend maaka sabab tu ya kaaba ila tunaenda kwa sababu mungu alimuahid mke wa nabii Ibrahim kua uzao wote utakua unaenda kumtembelea ivyo asijione katengwa

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Hivi, kuzuru makaburi Kwa uislam ni haramu, Sasa mnayeenda kumtembelea huko Maka yupo hai au kafa?
 
Alafu nina maswali mengi sana
Kupasua mwezi Kuna maana gani kwa watu?
Maana tunaona Allah anazungumzia miujiza ya nyuma kama ya issa , Musa ,
Yote ukiisome inamgusa binadamu moja kwa moja ,

Na ni Hadith anazungumzia na hana maandiko yoyote kabla ya Koran yanayo thibitisha anayosema
 
Kupasuka kwa mwezi ni muujiza na ni katika ishara juu ya uwepo wa Allah. Ukisoma tukio la mwezi liko wazi sana,na sababu ilikuwa wale wasio amini walitaka wafanyiwe muujiza na kumtaka Mtume Muhammad amuombe Mola wake aushushe mwezi ushuke na upasuke vipande viwili ili wamuamini kama ni Mtume wa Allah,hilo likafanyika lakini Abu Lahab na wenzake wakalikanusha hilo na kumtuhumu Mtume ya kuwa ni mchawi aliye pindukia.

Allah anazingumzia miujiza ya mitume walio pita kwa sababu nyingi kwanza kumtia moyo mja wale kutokana na changamoto anazo kutana nazo na kuonyesha ya kuwa yeye si wa kwanza katika hilo bali walikuwepo walio pita na wakakanushwa na kubezwa kadhalika kuthibitisha utume wake sababu wapo katika watu walikuwa wana elimu juu ya mitume walio pita kwahiyo wakawa wana muamini Mtume kwa yale anayo yasema kwa watu wakio pita ambayo na wao wanayajua.

Kila Mtume alipewa miujiza yake kulingana na watu wake ili iwe sababu ya wao wamuamini ndiyo maana kila Mtume ametofautiana miujiza na mtume mwingine,mathalani Musa alipewa fimbo yenye kubadilika kulingana na haja,Issa alipewa uwezo wa kufufua watu kwa idhini ya Mola wake,Suleyman alipewa uwezo wa kuongea na kila kiumbe na kuwatawala mpaka majini na kuwatumikisha na mtume akapewa miujiza zaidi ya mmoja kwanza katika miujiza aliyo pewa ni hii Qur'aan,Kupasuka kwa mwezi,Safari ya Israa na Moiraji,Kutoa maziwa kwenye vidole vyake na watu kunywa mpaka kusaza na mingneyo.

Kutokuwepo kwa maandiko ya zamani hakuthibitshi ya kuwa alichokisema ni uongo au la. Sababu ziko nyingi maandiko mengi ta zamani yalitiwa uchagu na kuondolewa mambo ya haki, kadhalika Allah hakuyahifadhi isipokuwa machache ambayi watu waliyadhibiti na yana afikiana na Qur'aan,mfano kuhusu uzao wa nabii Issa unafanana na kilichomo katika Qur'aan,kadhalika Qur'aan imeongelea utatu ambao kwenye Injili feki umo utatu huo na mengine mengi.
 
Unaweza weka ushahidi wa maandiko
Naweza kufanya kwa haraka haraka rejea katika Tafsir Ibn Kathir usome tukio zima na sababu ya kushuka kwa hiyo aya ya 1-3 katika Surat al-Qamar.
 
Sijaona munasaba wa swali lako na hoja iliyopo na kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza.

Kingine swali lako haliko wazi,yaani katika aya ya sura ya 17 na 54 taja aya ya ngapi ?!
Naona mimi kanikimbia 🤣🤣
 
Kupasuka kwa mwezi ni muujiza na ni katika ishara juu ya uwepo wa Allah. Ukisoma tukio la mwezi liko wazi sana,na sababu ilikuwa wale wasio amini walitaka wafanyiwe muujiza na kumtaka Mtume Muhammad amuombe Mola wake aushushe mwezi ushuke na upasuke vipande viwili ili wamuamini kama ni Mtume wa Allah,hilo likafanyika lakini Abu Lahab na wenzake wakalikanusha hilo na kumtuhumu Mtume ya kuwa ni mchawi aliye pindukia.

Allah anazingumzia miujiza ya mitume walio pita kwa sababu nyingi kwanza kumtia moyo mja wale kutokana na changamoto anazo kutana nazo na kuonyesha ya kuwa yeye si wa kwanza katika hilo bali walikuwepo walio pita na wakakanushwa na kubezwa kadhalika kuthibitisha utume wake sababu wapo katika watu walikuwa wana elimu juu ya mitume walio pita kwahiyo wakawa wana muamini Mtume kwa yale anayo yasema kwa watu wakio pita ambayo na wao wanayajua.

Kila Mtume alipewa miujiza yake kulingana na watu wake ili iwe sababu ya wao wamuamini ndiyo maana kila Mtume ametofautiana miujiza na mtume mwingine,mathalani Musa alipewa fimbo yenye kubadilika kulingana na haja,Issa alipewa uwezo wa kufufua watu kwa idhini ya Mola wake,Suleyman alipewa uwezo wa kuongea na kila kiumbe na kuwatawala mpaka majini na kuwatumikisha na mtume akapewa miujiza zaidi ya mmoja kwanza katika miujiza aliyo pewa ni hii Qur'aan,Kupasuka kwa mwezi,Safari ya Israa na Moiraji,Kutoa maziwa kwenye vidole vyake na watu kunywa mpaka kusaza na mingneyo.

Kutokuwepo kwa maandiko ya zamani hakuthibitshi ya kuwa alichokisema ni uongo au la. Sababu ziko nyingi maandiko mengi ta zamani yalitiwa uchagu na kuondolewa mambo ya haki, kadhalika Allah hakuyahifadhi isipokuwa machache ambayi watu waliyadhibiti na yana afikiana na Qur'aan,mfano kuhusu uzao wa nabii Issa unafanana na kilichomo katika Qur'aan,kadhalika Qur'aan imeongelea utatu ambao kwenye Injili feki umo utatu huo na mengine mengi.
  • Allah alipasua mwezi watu wakaona , akasema siku ya ufufuo imekarib1a na mwezi umekatika vipande
    • Koran 54.1Jalal - Al-Jalalayn The Hour has drawn near, the Resurrection is close at hand, and the moon has split, it broke in two...
  • Ukapita mda , allah akasema hivi, hakuna kinacho mzuia ila haleti miujiza kwa sababu watu wa vizazi vilivyopita walikataa miujiza
    • Koran 17:59 Jalal - Al-Jalalayn Nothing prevented Us from sending the signs, requested by the people of Mecca, except that the ancients denied them,....
  • Watu bado wakawa bado wanamuuliza muhammad kwa nini hana miujiza kutoka kwa mungu wake , allah akasema muhammad ni muonyaji tu
    • 13:7 Jalal - Al-JalalaynAnd those who disbelieve say, ‘Why has not some sign been sent down upon him, upon Muhammad (s), from his Lord!’, the like of the staff and the [glowing] hand, or the she-camel. God, exalted be He, says: You are only a warner, one to threaten the disbelievers, for it is not your duty to bring forth signs
  • Allah alisema amepasua mwezi
    • Kwa nini aje aseme tena watu wa vizazi vilivyopita na asiseme nimeshapasua mwezi na hamuamini?
    • Anakuja tena anasema muhammad hana miujiza kwa sababu yeye ni muonyaji tu , kwa nini hakusema nimempa muhammad muujiza wa kupasua mwezi?
    • Kwa nini kasema siku ya ufufa imekaribia na mwezi umekatika na mpaka leo ufufuo bado? na wakati mwezi ulisha pasuka?
    • Kwa nini hakusema aliurudishia?
    • Nani alipanga upya surah za Koran?
 
Allah alipasua mwezi watu wakaona , akasema siku ya ufufuo imekarib1a na mwezi umekatika vipande
  • Koran 54.1Jalal - Al-Jalalayn The Hour has drawn near, the Resurrection is close at hand, and the moon has split, it broke in two...
Ndiyo
Ukapita mda , allah akasema hivi, hakuna kinacho mzuia ila haleti miujiza kwa sababu watu wa vizazi vilivyopita walikataa miujiza
  • Koran 17:59 Jalal - Al-Jalalayn Nothing prevented Us from sending the signs, requested by the people of Mecca, except that the ancients denied them,....
Hili nimshalujibu zaidi ya mara moja. Huna hoja zaidi ya upotoshaji wa maana na matini ya Kiarabu nilikupa.

Punguza ujinga na usipoteze muda kwenye hamna.
Watu bado wakawa bado wanamuuliza muhammad kwa nini hana miujiza kutoka kwa mungu wake , allah akasema muhammad ni muonyaji tu
  • 13:7 Jalal - Al-JalalaynAnd those who disbelieve say, ‘Why has not some sign been sent down upon him, upon Muhammad (s), from his Lord!’, the like of the staff and the [glowing] hand, or the she-camel. God, exalted be He, says: You are only a warner, one to threaten the disbelievers, for it is not your duty to bring forth signs
Hili kadhalika nimeshakujibu na huna hoja ya kupinga ya kielimu kama unataka kupoteza muda endelea.

Kukataa miujiza japo wanaonyesha watu wa zamani hii ilikuwa ndiyo tabia yao mfano wa karibu wa Mayabudi mpaka wakamuomba nabii Musa kama yeye ni mkweli basi amuombe Mola wake awashushie chakula toka mbinguni na ikawa hivyo.

Sasa unapokosa hoja usipoteze muda zaidi na bora kwako kukaa kimya sababu unazidi kudhihirisha ujinga wako.q
Kwa nini kasema siku ya ufufa imekaribia na mwezi umekatika na mpaka leo ufufuo bado? na wakati mwezi ulisha pasuka?
Huu ujinga mwingine mwezi ulipasuka lino ? Na unaandika nini ? Sababu ua kushuka aya hiyo katika sura ya 54 ni hup muujiza wa kupasuka kwa mwezi.

Kukaribia kwa siku ya mwish kuko karibu si kwa maana ya kesho,kuna karibu karibu katika lugha na karibu kwa mbali kote ni kukaribia.

Aya imeongelea suala la mwezi kupasuka ni suala moja na kukaribia kwa siku ya mwisho ni suala lingine.

Naona umeshiwa cha kuandika.
Kwa nini hakusema aliurudishia?
Ndiyo maana nikakupa marejeo ukasome katika Tafsiri ya Ibn kathiri tukio zima,mwezi ulipasuka na ukarejea katika hali ya kawaida.

Hapakuwa na haja ya kuelezwa hilo sababu ya ufasaha wa lugha,yaani mwezi ulipasuka na ukarudi vile vile kuna haja gani ya wewe kuelezwa tena kwamba akaurudisha vile vile wakati walio shuhudia tukio hilo waliona umepasuka na ukarudi vile vile kwa mwanzo bali na sisi tunaona mwezi uko vile vile kama ulivyo mwanzo.
Nani alipanga upya surah za Koran?
Umeuliza swali la uongo,sababu mpaka Mtume anakufa kila kitu kuhusu Qur'aan alishakimaliza isipokuwa kukusanywa na kuwekwa pamoja.

Mtume ndiyo alizipanga aya mtume ndiyo akazipa majina sura,na lile limefanyika si kwa rai ya Mtume bali ni maagizo toka kwa Allah. Ndiyo maana ukiangalia aya ya mwisho kushuka ipo katika sura ya pili tena namba 278 kama sijakosea. Kwanini hujiuliza isingekuwa ipo katika sura 114 ambayo ni sura ya mwisho katika Qur'aan hii inaonyesha wazi ya kuwa suala hili alilimaliza Mtume mwenyewe.
 
Back
Top Bottom