Naomba mpe mtu anae elewa kingereza akusomee na akueleweshe hizi hadith au nenda azisome kwa lugha unayo elewaNikakuuliza ni aya zipi hizo na je hizo aya alikuwa nazo pekee mama Aisha na lini tukio hili lilitokea,sababu baada ya Mtume kufariki swahaba Abuubakr alitoa maoni Qur'aan ikusanywe yote na iwe katika kitabu kimoja na pia kuchelea wale walio hifadhi Qur'aan huenda wakafa na wali kuwa wengi.
Sasa unaposema kipande kililiwa na mbuzi je hizo aya hazikuwepo sehemu nyingine yoyote hali ya kuwa tunajua kabisa walikuwepo maswahaba wamehifadhi Qur'aan yote tangu Mtume yuko hai. Unaelewa ninacho kiandika ? Ukija uje na majibu ya maswali yangu.
- Matendo ya kunyonyesha watu wazima yalikuwepo yalianza kwa kunyonyesha mara kumi
- ..... A'isha umm al-muminin sent him away while he was being nursed to her sister Umm Kulthum bint Abi Bakr as-Siddiq and said, "Suckle him ten times so that he can come in to see me."Salim said, "Umm Kulthum nursed me three times and then fell ill, so that she only nursed me three times. I could not go in to see A'isha because Umm Kulthum did not finish for me the ten times." Book 30, Hadith 7
- Sahih-Muslim 1453e:....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....
- Aisha anathibitisha aya kutoka kwa Allah zilikuwepo , na anasema unyonyeshaji ulishushwa na Allah kutoka mara 10 kwenda mara 5
- Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings).
- Sahih Muslim 1452a 'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).
- Sahih Muslim 1452b
- Aisha anasema zililiwa na mbuzi wakati wakiwa bize na mazishi ya muhammad, watu walikuwa wana recite
- It was narrated that 'Aishah said: Sunan Ibn Majah 1944 “The Verse of stoning and of breastfeeding an adult ten times was revealed1, and the paper was with me under my pillow. When the Messenger of Allah died, we were preoccupied with his death, and a tame sheep came in and ate it.”
- Muhammad kafa verses za unyonyeshaji zipo , baati mbaya mbuzi kala zile verse, ila watu walikuwa wamekariri, swali langu kwa nini kwenye koran leo hii hazipo?