Ndiyo
Hili nimshalujibu zaidi ya mara moja. Huna hoja zaidi ya upotoshaji wa maana na matini ya Kiarabu nilikupa.
Punguza ujinga na usipoteze muda kwenye hamna.
Hili kadhalika nimeshakujibu na huna hoja ya kupinga ya kielimu kama unataka kupoteza muda endelea.
Kukataa miujiza japo wanaonyesha watu wa zamani hii ilikuwa ndiyo tabia yao mfano wa karibu wa Mayabudi mpaka wakamuomba nabii Musa kama yeye ni mkweli basi amuombe Mola wake awashushie chakula toka mbinguni na ikawa hivyo.
Sasa unapokosa hoja usipoteze muda zaidi na bora kwako kukaa kimya sababu unazidi kudhihirisha ujinga wako.q
Huu ujinga mwingine mwezi ulipasuka lino ? Na unaandika nini ? Sababu ua kushuka aya hiyo katika sura ya 54 ni hup muujiza wa kupasuka kwa mwezi.
Kukaribia kwa siku ya mwish kuko karibu si kwa maana ya kesho,kuna karibu karibu katika lugha na karibu kwa mbali kote ni kukaribia.
Aya imeongelea suala la mwezi kupasuka ni suala moja na kukaribia kwa siku ya mwisho ni suala lingine.
Naona umeshiwa cha kuandika.
Ndiyo maana nikakupa marejeo ukasome katika Tafsiri ya Ibn kathiri tukio zima,mwezi ulipasuka na ukarejea katika hali ya kawaida.
Hapakuwa na haja ya kuelezwa hilo sababu ya ufasaha wa lugha,yaani mwezi ulipasuka na ukarudi vile vile kuna haja gani ya wewe kuelezwa tena kwamba akaurudisha vile vile wakati walio shuhudia tukio hilo waliona umepasuka na ukarudi vile vile kwa mwanzo bali na sisi tunaona mwezi uko vile vile kama ulivyo mwanzo.
Umeuliza swali la uongo,sababu mpaka Mtume anakufa kila kitu kuhusu Qur'aan alishakimaliza isipokuwa kukusanywa na kuwekwa pamoja.
Mtume ndiyo alizipanga aya mtume ndiyo akazipa majina sura,na lile limefanyika si kwa rai ya Mtume bali ni maagizo toka kwa Allah. Ndiyo maana ukiangalia aya ya mwisho kushuka ipo katika sura ya pili tena namba 278 kama sijakosea. Kwanini hujiuliza isingekuwa ipo katika sura 114 ambayo ni sura ya mwisho katika Qur'aan hii inaonyesha wazi ya kuwa suala hili alilimaliza Mtume mwenyewe.
- Usijibu kwa hasira , tuliza akili soma maswali jibu, unachukua mda kujibu alafu unaandika maneno mengi point zero
- Allah anasema muhmmad hana muujiza ni muonyaji tu alafu hapo hapo alishapasua mwezi? ndio maana mwanzoni nilikuuliza kuhusu aya iliyotangulia na iliyofuta kwa jinsi muhammad alivyo pewa na allah
- Pia unatumia takia kudanganya umma hapa jibu nani alizipanga upya surah , maana kama allah alitangulia kupasua mwezi ndio surah zingine zikafuatwa ilitakiwa iwe kama ilivyo
- Pia una kiporo cha aya za unyonyeshaji, issue ya msingi muhammad ndio alikuwa anapokea ujumbe, kafa kaacha unyonyeshaji kwa mtu mzima ni mara tano , leo hii aya hakuna why?