Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

66:1.
Hyo inahusu habari za vyakula.
Kuna vyakula wake za mtume walikuwa hawataki kula.mtume akataka kuvipa uharamu visiliwe.
Ndipo ikashuka hyo Aya.
Soma post namba 1171
Screenshot_20211211-171552.jpg
 
Ndio Maana Allah anasema Muhammadi ni m'mbora kupita Waislamu wote.
Kwakuwa Allah, Muhammadi na Jibriru wote lao moja.

Mi binafsi sijaona fundisho lolote Jipya la maana ambalo hao watatu wamelisema.
Hivyo ujio wa Muhammadi sijaona chochote cha maana alicho kiongeza ambacho Manabii wa Kweli hawakuwahi kusema.

Labda kama lipo fundisho la maana na jipya liwekwe humu mimi nitaslimu.

Kipya cha Muhammadi ni kile cha kuwaambia Waislamu kwamba dini yao ni mali ya Majini.
Kipya kisichokuwa na maana ni kuwakaribisha Majini misikitini.

Jambo ambalo ni uovu kwa Mungu wa kweli.
Anayo mambo yakushangaza kaleta , kama kuwa na wanawake wengi peponi , kuwa na uume ambao umesimama milele ,kuwa na wanawake unaona vitu vya ndani kama moyo maini
 
66:1.
Hyo inahusu habari za vyakula.
Kuna vyakula wake za mtume walikuwa hawataki kula.mtume akataka kuvipa uharamu visiliwe.
Ndipo ikashuka hyo Aya.View attachment 2040667
Issue ilianzia hapa kwa maria house girl ambae alikuwa kwa mke wa muhammad anaitwa Hafsa

Muhammad alikuwa anazini nae akakamatwa na Hafsa, Aisha na Hafsa wakamuamshia popo
It was narrated from Anas, that the Messenger of Allah had a female slave with whom he had intercourse, but 'Aishah and Hafsah would not leave him alone until he said that she was forbidden for him. Then Allah, the Mighty and Sublime, revealed:
"O Prophet! Why do you forbid (for yourself) that which Allah has allowed to you.' until the end of the Verse. Sunan an-Nasa'i 3959
 
66:1.
Hyo inahusu habari za vyakula.
Kuna vyakula wake za mtume walikuwa hawataki kula.mtume akataka kuvipa uharamu visiliwe.
Ndipo ikashuka hyo Aya.View attachment 2040667
Allah anazingua Sana anapo ongea Yani anajisahau yeye ndio anatakiwa kuwa mwenyezi Mungu , Koran ukisoma haieleweki mda gani Allah anaongea na mda gani Muhammad anaongea ,mda gani siafu anaongea mda gani Umar anaongea mda gani shetani anaongea na mda gani Allah anaongea Yani full mchanganyiko
 
Utasikia.
"Naapa kwa aliyeumba Kiume na Kike"
Na huwezi kujua anayeapa ni Allah, Muhamadi au Jibrili. Maana neno "Sema hakuna"

Ni full mikanganyiko.
 
Sheria zote za uandiashi zimezingatiwa.ugumu unaweka wewe.
 
Utasikia.
"Naapa kwa aliyeumba Kiume na Kike"
Na huwezi kujua anayeapa ni Allah, Muhamadi au Jibrili. Maana neno "Sema hakuna"

Ni full mikanganyiko.
kama hamuelewi twambieni sisi tukuelewesheni mna qur'an sio kila mtu anaitafsiri tu ovyo ovyo kma mnavojua nyinyi
ww kitabu cha kiswahili tu umefahamishwa uko shuleni na kiswahili ni lugha yko mwenyewe ije kua kiarabu ukijue ww

hlf m natoa mfano hpa nikuelewesheni nyinyi msojua kitu
Allah hutumia nafsi ya umoja na wingi ili kuonesha ufalme wake na utukufu wake

Tuje kwenye mifano ya kidunia hpa
Raisi wa Tz akienda America na akihutubia je atasema mm au atasema sisi watz?
Apo tunaona kua Raisi atasema ss Watanzania tumeamua jambo fulani
Sasa Raisi akisema ivo kwn watz wote ndo wamesema ivo

Ikiwa hamjui jambo liulizeni kwanza sio mnaropoka kuongea PUMBA
 
Nifundishe tu.
Anaye apa hapo ni nani.
 
Hatupo huko kabisa , ya umoja na wingi japokuwa allah anajichanganya ,mimi nipo kwa allah kijisaau yeye ndio anatakiwa kuwa mwenyezi mungu yani allah anasema anaap Kwa alie umba
 
Wenye asili yao huongoza kitu chao
Asili ya manabii wote ni waarabu hamna ata nabii mmoja alokua ni mswahili
Sisi Waislamu Mtume wetu alikuepo makka na madina na mpka saivi izo sehemu 2 ndio Waislamu mpk leo wanaenda hijja

lkn sasa tuje upande wa pili makao makuu ya ukristo yapo Roma (italy) ivi twambieni mtume gani alitumwa Roma mpk wao waijue dini kuliko walopelekewa?
 
Jiwe kwanini mnaliabudu? Na kulisujudia
 
kama hamuelewi twambieni sisi tukuelewesheni mna qur'an sio kila mtu anaitafsiri tu ovyo ovyo kma mnavojua nyinyi
ww kitabu cha kiswahili tu umefahamishwa uko shuleni na kiswahili ni lugha yko mwenyewe ije kua kiarabu ukijue ww

hlf m natoa mfano hpa nikuelewesheni nyinyi msojua kitu
Allah hutumia nafsi ya umoja na wingi ili kuonesha ufalme wake na utukufu wake

Tuje kwenye mifano ya kidunia hpa
Raisi wa Tz akienda America na akihutubia je atasema mm au atasema sisi watz?
Apo tunaona kua Raisi atasema ss Watanzania tumeamua jambo fulani
Sasa Raisi akisema ivo kwn watz wote ndo wamesema ivo

Ikiwa hamjui jambo liulizeni kwanza sio mnaropoka kuongea PUMBA

Koran 4 79:
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. *Nasi*tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

Hao Nasi ni kina nani ambapo mwenyezi Mungu ni shahidi?
 
Ilo swali mm nishalieleza iyo post uloquote kwaio soma vzr apo mwanzo kabisa nimelieleza ilo swali lko

N.b.ukiwa hujafahamu nambie
 
Ulisema toka mwanzo ufundishwe?
Au ndo mpk ushajikoroga ndo untka ufundishwe?
Sijajikoroga nauliza.
Kuna mchangiaji kauliza hapo juu kuwa.

4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

Aya hiyo hapo anayezungumza ni nani ?
huyo "Nasi" ni nani ?
Ndio hapo Allah anatumia nafsi ya uwingi ?

Swali la dini ukiulizwa wewe jibu tu usitoe sababu nyingine.

Kwani.

Hata mimi nisipo sikia watu wengine watajifunza kutokana na jibu lako.
 
Back
Top Bottom