Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Mi nachafuaje Uislamu sasa.Usilolijua sawa na ucku wa giza
hlf m nashangaa sanaa M sijawahi kuona misikitini kuna mapepo lkn kila siku makanisani ety wanakemea mapepo sasa ebu jiulize hua mnayatoa wapi hyo mashetani yenu usipende kufuata mkumbo tuu
Kuchafuliwa Uislamu lzma waislamu waseme mna ata ww apo ukisingiziwa uongo tuu utalaani mpk basi ili uombwe radhi sasa kma dini yko inachafuliwa ndo ukae kimya we vipi ww jitafakari vzr kijana wa KIKAFIRI
hlf KAFIRI sio tusi wala nn yni asiekua muislamu yyte yule ni KAFIRI kwaio msinune tukikuiteni ivo
Au unataka kumkanusha Mtume na Allah kuwa Majini sio waislamu wenzenu tena ?
Kama huyaoni sio tatizo kwakuwa hayaonekani na macho ya watu wengine.
Ila wenzako wanayaona waulize.
Kusema Uislamu ni dini ya Majini sio kashfa hiyo.
Sura ya Majini ipo ndani ya Qurani kuthibitisha.
Au kama hujui basi leo ujue hivyo kwamba Jini Subiani na wenzake wanatubu msikitini.
Mwulize Shehe au Imamu wako atakueleza kiundani.
Kinachotakiwa wewe nenda kaulize utaambiwa hivyo hivyo hata ukitaka kuonyeshwa watakuonyesha.
Sina shida ya kuchafua dini ya watu. Ila nasema ukweli na kweli tupu.
Msikiti ndio Nyumba ya Ibada ya Waislamu binadamu na Waislamu wa Kijini.
Tena Mtume anasema ni Ndugu zenu kabisa.
Wewe ni nani hadi ukanushe undugu nao.
Utake usitake ukweli ndio huo.
Kama hujui basi wewe utakuwa KAFIRI tu.
Kasome Surat Jinn ujiridhishe wacha UKAFIRI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]