Hizi habari ni kweli Russia na China walikuwa wanayajuwa haya lazima ujuwe hata kabla ya vita biashara kati ya USA na Russia ni ndogo sana shida nchi za ulaya hasa Germany ila mafuta sio issue soko kubwa la Russia wanalo na Gas wakiuza kwa China atakayeumia zaidi ni nchi za Europe watapata mafuta lakini bei za juu sababu Russia alikuwa anauza rahisi kutokana na miundo mbinu na pia operating cost Russia ni very low sababu ziko nyingi hiyo topic nyingine.
Kwahiyo soko la China linamtosha Mrusi au ni harakati za mfa maji tu?