China: Bwawa kubwa namba 2 duniani karibu kukamilika...

China: Bwawa kubwa namba 2 duniani karibu kukamilika...

Profesorio Sosi peteri muongo anasemaje kuhusu hili
Unanichafulia uzi huu kwa majina ya ajabu ajabu ndugu yangu... simpend huyo mtu na hata hastahil kuitwa prf
 
Uku tanzania baadhi ya wanasiasa wanamhujumu bwawa la umeme lisikamilike
 
Mbona tuliambiwa umeme wa maji umepitwa na wakat jmn... Ukiwasikiliza watanzania hutasonga
 
Tumepigwa JNHP....Hadi 2024..inauma. Pesa zote zile .
 
bwawa linaendelea kujengwa kwa kasi ile ile, tofauti tu ni kuwa kwa sasa kazi haiendi kwa makamera meengi ya kila siku.........mwizi anakimbizwa kimya kimya. Nyie endeleeni kuzusha na muda utawaumbua!
 
bwawa linaendelea kujengwa kwa kasi ile ile, tofauti tu ni kuwa kwa sasa kazi have died kwa makamera meengi ya kila siku.........mwizi anakimbizwa kimya kimya. Nyie endeleeni kuzusha na muda utawaumbua!
Crane ishafika
 
Back
Top Bottom