Halafu Muhongo anakwambia eti huu umeme umepitwa na wakati ilhali wenzetu walioendelea mpaka kesho wanazidi kujenga vyanzo vipya
[emoji1787][emoji1787] lakini matundu tu ya choo tunajengewa na Wazungu.CHADEMA sio wa kuwasikiliza kwenye masuala ya msingi
Profesorio Sosi peteri muongo anasemaje kuhusu hili
AlmostCrane ishafika
Wachina wameendelea? ACHA ujingaHalafu Muhongo anakwambia eti huu umeme umepitwa na wakati ilhali wenzetu walioendelea mpaka kesho wanazidi kujenga vyanzo vipya