Hatuna jeuri hiyo sanasana meli itarudi China na pembe za ndovuMkuu, hapa ulichofikiri ndicho kinachoenda kufanyika, sjui tutawaiga Wazungu
Cheap labor ndugu yangu. Tatizo mishahara Ulaya mikubwa. Hivyo ni bora waimport kutoka China.Na pia hawa wazungu si watengeneze wenyewe? Si wameendelea hawa ama vipi?
Hakuna mwenye uthibitiaho huo kama ni vifaa hivyo vilivyotumika china ndo hivyohovyo vilivyopelekwa ulayaWazungu walishatanguliza dharau kwa wachina tangu mwanzo kwahyo huo ni mwendelezo Wa kejeli dhidi ya taifa la uchina lakini ukweli ni kwamba vifaa hivyo hivyo ndo vimewasaidia wachina katika janga hili ndoja wakianza kudondoka kama kuku ndo watatia akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia hawa wazungu si watengeneze wenyewe? Si wameendelea hawa ama vipi?
Asante mkuu Kwa comment ya mahubili na bila Shaka nimekuelewa vizuri na hata hivyo hata Mimi sikuwa na lengo la kudhihaki biashara ya bodaboda, ilikuwa ni Ile Hali ya kujiuliza tu kwamba, Kwa nini mzungu hanunui pikipiki ya mchina?
Ni hivyo tu kiongozi
Viwanda vya ulaya vingivmefungwa due to covid19[emoji724]Na pia hawa wazungu si watengeneze wenyewe? Si wameendelea hawa ama vipi?