China ilikuwa sawa na Tanzania, leo wao sawa na Marekani

Nafikiri walizingatia uzalendo zaidi, ukiiba mali ya umma ni risasi, tena mbele ya watu, Tz ukiiba unahamishwa ili ukaendelee na wizi. Mambo ya blaablaaa yametuponza.
 
Mfanyabiashara Muitaliano Marco Polo alisafiri kwenda China mwaka 1271-1295 kupitia barabara maarufu Silk Road

Aliporudi Italy aliandika jinsi alivyoshangazwa na teknolojia alizokuta China wakati huo ambazo hata Ulaya hawakua nazo mfano porcelain, gunpowder, paper money

Huo ni mfano mmoja kati ya mingi kuwa China hatujawahi kuwa nao sawa wala kuwakaribia
 
CCM akina Mkapa badala ya kukuza viwanda wanabinafisisha waharabu na kufuga mbuzi na kanga, kuuza madini bei karibu na bure, na huyu chura anauza rasilimali za nchi kwa wajomba zake, hivyo tutaendelea kurudi nyuma badala ya kusonga mbele.
 
Huu Huwa nauona uongo. China Mwaka 70 tayari walikuwa na uwezo wa kutujengea reli ya Tazara. Haiwezekani ndani ya miaka kumi tu tangu tupate uhuru tulikuwa sawa Mwaka 61
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…