China imefunga Ubalozi mdogo wa Marekani

China imefunga Ubalozi mdogo wa Marekani

Wizara ya Mambo ya nje ya China imeiagiza serikali ya Amerika kufunga ofisi ya wanadiplomasia huko Chengdu, hatua ya Beijing iliona majibu ya barua-mbili kwa kufukuzwa kwa Washington kwa wafanyikazi wa ubalozi wa China kutoka kituo huko Texas.

Beijing orders US to close its consulate in Chengdu in retaliation for closure of Chinese facility in Houston

Chinese Foreign Ministry has ordered the US government to shutter a diplomatic office in Chengdu, a move Beijing deemed a tit-for-tat response to Washington’s recent expulsion of Chinese consulate staff from a facility in Texas.

“China has decided to revoke the license for the establishment and operation of the US Consulate General in Chengdu and put forward specific requirements for the Consulate General to stop all business and activities,” the Chinese Foreign Ministry said in a statement on Friday morning.

The current situation between China and the United States is something China does not want to see, and the responsibility rests entirely with the United States.

ALSO ON RT.COM
FBI hunts for ‘Chinese military spies’ all across the US as Pompeo calls for global crusade against Beijing

Beijing once again urged Washington to "immediately revoke the erroneous decision to create necessary conditions for the return of bilateral relations to normal," it added.

Washington “unilaterally provoked” the retaliatory move, the statement went on, pointing to this week’s decision to shut down a Chinese consulate in Houston, Texas, which it said “seriously violated international law and… damaged Sino-US relations.”

Though Beijing expressed regret over escalating tensions between the two countries, it said expelling American diplomats was a “legitimate and necessary response” to “unreasonable actions” on the US side, insisting it has acted in line with international norms.

===
Wizara ya Mambo ya Nje ya China, imeiamuru Marekani kufunga jengo lake la Kidiplomasia lililopo Chengdu, China. Uamuzi huu umekuja baada ya Marekani kufunga ofisi ya Kidiplomasia ya China iliyopo Texas Marekani

Kufungiana ofisi za Kidiplomasia linaonekana kuwa swala linalozidi kuonyesha utengano kwa mataifa hayo ambayo awali yalianza kwa kuwekena vikwazo katika upatikanaji wa VISA, na kuongezea sheria wanaosafiri kidiplomasia

Awali Marekani ililaumu ofisi hizo za kidiplomasia zilizoko Marekani kuwa wanasaidia wizi wa kijeshi unaoiba tafiti za wamarekani. Pia waliwalaumu watu wa ofisi hizo kutumia majina yasiyo halisi katika kufanikisha suala la kuiba taarifa za kiintelijensia

Maafisa wa kichina wanasema utawala wa Rais Trump unaonyesha Chuki ya wazi kwa wachina na wamemlaumu Pompeo kwa kuendeleza itikadi za vita baridi
Tick for tack
 
Mkuu ulitaka wakae wasilipize kisasi?
Hawa jamaa Wachina huwa siwaelewi kabisa. Wabinafsi mno. Wao wamezuia mitandao mingi ya Ulaya kwa kisingizio cha usalama, WhatsApp, Google Play, Google map na mitandao kibao wamezipiga pin kwa kisingizio cha security. Halafu wanataka tu trend na ka Tik Tok zao na hizo products zao kama Huawei, ambapo nao wakisingiziwa issue za security wanang'aka. Hawatamsahau Trump.
 
China hawana future, zama za kupigia chabo teknolojia za wengine zimeisha.
 
Marekani zama hizi anapata shida sana, zile enzi za kuoneana zimepitwa na wakati, anachofanya anajibiwa, kijinchi kidogo kama Venezuela [emoji1263] anabakia kukipa mikwara mbuzi wakati wahuni wameshasema ww kama mbabe njoo uwone makombora ya kirusi yatakavyotua New York
kwani kukaziwa marekani kaanza leo.

kafuatilie vita ya vietnam,tofauti na sasa dunia iko mubashara sana.

bush mwenyewe alikula kiatu cha uso pamoja na ubishi wake.
 
Hatasioni faida ya hizi balizo au consulate au high comission kuwepo.

Kazi au faida ya nchi kuwa na ubalozi kwa mwenzake ni zipi?!

Dunia ya utandawazi hii, kuna simu na internet kama mawasiliano mbona yapo?!

Kwanini kuwe na ubalozi?!
 
Marekani zama hizi anapata shida sana, zile enzi za kuoneana zimepitwa na wakati, anachofanya anajibiwa, kijinchi kidogo kama Venezuela [emoji1263] anabakia kukipa mikwara mbuzi wakati wahuni wameshasema ww kama mbabe njoo uwone makombora ya kirusi yatakavyotua New York
Alaa!!??
 
Hatasioni faida ya hizi balizo au consulate au high comission kuwepo.

Kazi au faida ya nchi kuwa na ubalozi kwa mwenzake ni zipi?!

Dunia ya utandawazi hii, kuna simu na internet kama mawasiliano mbona yapo?!

Kwanini kuwe na ubalozi?!
Kukusanya taarifa za kijasusi, lobbying, fursa za kibishara, sabotage, support movement, covers za covert operations. Kwa kivuli cha mahusiano ya kimataifa.
Mi naona angefungia ule wa Guangzhou.
 
Back
Top Bottom