China imefunga Ubalozi mdogo wa Marekani

Tick for tack
 
Mkuu ulitaka wakae wasilipize kisasi?
 
China hawana future, zama za kupigia chabo teknolojia za wengine zimeisha.
 
kwani kukaziwa marekani kaanza leo.

kafuatilie vita ya vietnam,tofauti na sasa dunia iko mubashara sana.

bush mwenyewe alikula kiatu cha uso pamoja na ubishi wake.
 
Hatasioni faida ya hizi balizo au consulate au high comission kuwepo.

Kazi au faida ya nchi kuwa na ubalozi kwa mwenzake ni zipi?!

Dunia ya utandawazi hii, kuna simu na internet kama mawasiliano mbona yapo?!

Kwanini kuwe na ubalozi?!
 
Alaa!!??
 
Kukusanya taarifa za kijasusi, lobbying, fursa za kibishara, sabotage, support movement, covers za covert operations. Kwa kivuli cha mahusiano ya kimataifa.
Mi naona angefungia ule wa Guangzhou.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…