Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
π‘ Nchi ya China imegundua chanzo Cha nishati mpya isiyo na kikomo inaitwa thorium , imeripotiwa kugundua hifadhi hiyo kubwa ya Thorium katika eneo la uchimbaji wa madini LA bayan Obo huko Mongolia.
π Nishati Hiyo ambayo imegunduliwa kwenye Kaya zaidi ya 233 zenye utajiri wa thorium zimeweza kutambuliwa nchini kote China, huku Tani milioni moja zikikadiriwa kuwa Eneo la Bayan Obo.
π nishati Hiyo inayotokana na Thorium inatoa mbadala safi zaidi ya Mara mia mbili ya Nishati ya uranium's.
π Thoriamu ni nyingi mara 500 kuliko uranium-235, ikiwa na taka ndogo za nyuklia na hatari zenye kuyeyuka.
π China inapanga kujenga viwanda 24 vipya vya nyuklia ifikapo 2030, na hivyo kuimarisha msukumo wake wa uhuru wa nishati.
π Kubwa zaidi ni uwezo wa nishati hii kuweza kutoa nguvu ya Umeme kwa matumizi mbalimbali nchini China kwa zaidi ya miaka 60,000 bila kikomo.