China imegundua nishati yenye nguvu ya kutoa umeme kwa miaka 60,000 bila kikomo

China imegundua nishati yenye nguvu ya kutoa umeme kwa miaka 60,000 bila kikomo

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
1_20250303_084727_0000.png

💡 Nchi ya China imegundua chanzo Cha nishati mpya isiyo na kikomo inaitwa thorium , imeripotiwa kugundua hifadhi hiyo kubwa ya Thorium katika eneo la uchimbaji wa madini LA bayan Obo huko Mongolia.

💭 Nishati Hiyo ambayo imegunduliwa kwenye Kaya zaidi ya 233 zenye utajiri wa thorium zimeweza kutambuliwa nchini kote China, huku Tani milioni moja zikikadiriwa kuwa Eneo la Bayan Obo.

🔆 nishati Hiyo inayotokana na Thorium inatoa mbadala safi zaidi ya Mara mia mbili ya Nishati ya uranium's.

2_20250303_084727_0001.png

🔆 Thoriamu ni nyingi mara 500 kuliko uranium-235, ikiwa na taka ndogo za nyuklia na hatari zenye kuyeyuka.

🔆 China inapanga kujenga viwanda 24 vipya vya nyuklia ifikapo 2030, na hivyo kuimarisha msukumo wake wa uhuru wa nishati.

🚀 Kubwa zaidi ni uwezo wa nishati hii kuweza kutoa nguvu ya Umeme kwa matumizi mbalimbali nchini China kwa zaidi ya miaka 60,000 bila kikomo.
 
Thorium sio teknolojia mpya, hayo madini potential yake ya nishati iligundulika kitambo sana (nyuma zaidi ya miaka 50 iliyopita)
Yaani gharama za umeme wa nyuklia zingekuwa chini basi Afrika Mashariki nzima ingeendeshwa na vinu vya nyuklia visivyozidi 5
 
Thorium sio teknolojia mpya, hayo madini potential yake ya nishati iligundulika kitambo sana (nyuma zaidi ya miaka 50 iliyopita)
Yaani gharama za umeme wa nyuklia zingekuwa chini basi Afrika Mashariki nzima ingeendeshwa na vinu vya nyuklia visivyopungua 5
Wamegundua hazina ardhini sio matumizi mkuu
 
Dunia ikichoka kutobolewa kila siku na kutolewa upepo unao sababisha ielee na miamba inayo balance gravity basi huo ndio utakuwa mwisho. Ita fanya self destruction.
NB sijasema watu waache kuitoboa
 
Thorium sio teknolojia mpya, hayo madini potential yake ya nishati iligundulika kitambo sana (nyuma zaidi ya miaka 50 iliyopita)
Yaani gharama za umeme wa nyuklia zingekuwa chini basi Afrika Mashariki nzima ingeendeshwa na vinu vya nyuklia visivyopungua 5
----IPO HAJA NCHI ZETU TATU, EAC, ZIKAANZISHA MRADI WA KIPEKEE WA AINA HII - - - -, KWA UMEME WA ZAIDI WENYE BEI NDOGO, sijui watachukiwa wazo hili jema kwa future ya EAC, Especially, Kenya, Tanzania na Uganda.
 
Dunia ikichoka kutobolewa kila siku na kutolewa upepo unao sababisha ielee na miamba inayo balance gravity basi huo ndio utakuwa mwisho. Ita fanya self destruction.
NB sijasema watu waache kuitoboa
Dunia hii ina historia ya mabilioni ya miaka ikiwa hapa ; katika umri wake huo imebamizwa na miamba na vimondo vya kutosha kuisambaratisha ten times over lakini bado ipo
Sisi binadamu hamna tutakachoifanya kuihatarisha zaidi ya hatari zilizokuwa huko nje
 
Dunia ikichoka kutobolewa kila siku na kutolewa upepo unao sababisha ielee na miamba inayo balance gravity basi huo ndio utakuwa mwisho. Ita fanya self destruction.
NB sijasema watu waache kuitoboa
Ushahidi?
 
Dunia hii ina historia ya mabilioni ya miaka ikiwa hapa ; katika umri wake huo imebamizwa na miamba na vimondo vya kutosha kuisambaratisha ten times over lakini bado ipo
Sisi binadamu hamna tutakachoifanya kuihatarisha zaidi ya hatari zilizokuwa huko nje
Meli kwa zaidi ya asikimia 70 haizamishwi na maji yanayo izunguka ila yale yanao ingia ndani. Unaweza kuhimili ngumi ya tumbo ila sio kuhimili ukitobolewa kitovu na utumbo kuvutwa nje
 
Back
Top Bottom