China imejenga kituo cha reli kwa saa 9 kwa kutumia wafanyakazi 1500

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


China imeweka rekodi ya Dunia kwa kuweza kufanikiwa kutengeneza Kituo cha reli kikubwa ndani ya masaa Tisa.

Waliweza kukusanya zaidi ya Wafanya kazi 1,500 zikiwa na Mashine nzito na kufanikiwa kukamilisha kituo icho kizima cha Reli kwa wakati uliorekodiwa.



Wazungu wanasema when speed meets planning, miracle happen!! Ndicho wachina walichokifanya Hakika wameweka rekodi ya Dunia kwa kujenga kituo kikubwa cha reli ndani ya saa chache.

Kazi ambayo ilibidi ichukue Miezi kadhaa kukamilika wachina wameikamilisha kwa masaa chache.
 
Dodfish kibigwa zaid
bongo kuna Goldberg ni mpya toka shy town jaribu isipokufaa achana nayo ila naona kama itakubalika basi ndo mwisho wa Serengeti lite!.
binafsi bongo napenda Serengeti lager, na hiyo Goldberg ila sema kwenye beer sina machaguzi sana japo hizo kwenye list huwa ni first priority!, nje ni Heineken kwangu hakuna beer kama Heineken!...😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…