China imejenga kituo cha reli kwa saa 9 kwa kutumia wafanyakazi 1500

China imejenga kituo cha reli kwa saa 9 kwa kutumia wafanyakazi 1500

bongo kuna Goldberg ni mpya toka shy town jaribu isipokufaa achana nayo ila naona kama itakubalika basi ndo mwisho wa Serengeti lite!.
binafsi bongo napenda Serengeti lager, na hiyo Goldberg ila sema kwenye beer sina machaguzi sana japo hizo kwenye list huwa ni first priority!, nje ni Heineken kwangu hakuna beer kama Heineken!...😅
Vermont kuna baridi ya hatari nataka kujifunza madude ya kibingwa zaidi
 
View attachment 3320921

🚄🇨🇳 China imeweka rekodi ya Dunia kwa kuweza kufanikiwa kutengeneza Kituo cha reli kikubwa ndani ya masaa Tisa.

Waliweza kukusanya zaidi ya Wafanya kazi 1,500 zikiwa na Mashine nzito na kufanikiwa kukamilisha kituo icho kizima cha Reli kwa wakati uliorekodiwa.

View attachment 3320922

Wazungu wanasema when speed meets planning, miracle happen 🏃🏾!! Ndicho wachina walichokifanya Hakika wameweka rekodi ya Dunia kwa kujenga kituo kikubwa cha reli ndani ya saa chache.

Kazi ambayo ilibidi ichukue Miezi kadhaa kukamilika wachina wameikamilisha kwa masaa chache 🔅.
Kwa Tanzania ingechukua miaka 9 kuweka vifaa site, miaka 10 kujenga na bado waongeze na miwili ya extension.
Bibi mitano tena
 
Halafu huku Tanzania unakuta tunapigizana kelele na kujenga ule mwendokasi from Ubungo to Mwenge.

Ile ni kazi ya week tu ukiweka hela mezani na ukatoa hiyo deadline.
 
Too good to be true.

Ni kilomita ngapi hizo wamejenga.

Kumbuka leo ni May 1, na sio April 1
 
1746253165033.png
 
Back
Top Bottom