Vermont kuna baridi ya hatari nataka kujifunza madude ya kibingwa zaidibongo kuna Goldberg ni mpya toka shy town jaribu isipokufaa achana nayo ila naona kama itakubalika basi ndo mwisho wa Serengeti lite!.
binafsi bongo napenda Serengeti lager, na hiyo Goldberg ila sema kwenye beer sina machaguzi sana japo hizo kwenye list huwa ni first priority!, nje ni Heineken kwangu hakuna beer kama Heineken!...π
Vermouth umekuwa muitaliano wewe...?Vermont kuna baridi ya hatari nataka kujifunza madude ya kibingwa zaidi
Kwa Tanzania ingechukua miaka 9 kuweka vifaa site, miaka 10 kujenga na bado waongeze na miwili ya extension.View attachment 3320921
ππ¨π³ China imeweka rekodi ya Dunia kwa kuweza kufanikiwa kutengeneza Kituo cha reli kikubwa ndani ya masaa Tisa.
Waliweza kukusanya zaidi ya Wafanya kazi 1,500 zikiwa na Mashine nzito na kufanikiwa kukamilisha kituo icho kizima cha Reli kwa wakati uliorekodiwa.
View attachment 3320922
Wazungu wanasema when speed meets planning, miracle happen ππΎ!! Ndicho wachina walichokifanya Hakika wameweka rekodi ya Dunia kwa kujenga kituo kikubwa cha reli ndani ya saa chache.
Kazi ambayo ilibidi ichukue Miezi kadhaa kukamilika wachina wameikamilisha kwa masaa chache π .
Vermont kumbe ipo Italia tena?Vermouth umekuwa muitaliano wewe...?
Haha! sikujua kama ni mji, mi nikajua unazungumzia Vermouth ambayo ni pombe!...πVermont kumbe ipo Italia tena?
Ushalewa masterHaha! sikujua kama ni mji, mi nikajua unazungumzia Vermouth ambayo ni pombe!...π
zaidi hutengenezwa Italy hizi pombe
Vermont sio mji ni jimbo maarufu tuHaha! sikujua kama ni mji, mi nikajua unazungumzia Vermouth ambayo ni pombe!...π
zaidi hutengenezwa Italy hizi pombe
shida tulikuwa tunazungumzia pombe we ukaleta majimbo...πVermont sio mji ni jimbo maarufu tu
Yeah nakuelewesha mimi nakunywa pombe ya sehemu nilipo cocktail mixa.shida tulikuwa tunazungumzia pombe we ukaleta majimbo...π
sawaYeah nakuelewesha mimi nakunywa pombe ya sehemu nilipo cocktail mixa.
We huwezi kuelewa bro ππtrust me bro