PhD takataka za kuokota jalalaniSasa hapa bongo nani aliyebuni ? Yule chengere mpaka amekua professor kabuni nn?
Bongo kadri unavyoenda juu basi elimu inakuwa rahisi , ukiona research za Dgree na master hazina tofauti ..Na hizo masters watu wanapewa tu kwa sasa .PhD takataka za kuokota jalalani
Kweli kabisa. Kuna yule naibu Waziri anajiita Dr na Wala hana degree. Kumbe ni udaktari wa heshima wa Theolojia.Siku hizi Bongo imekuwa ni fasion! Kila kigogo mkuu wa serikali anataka atambulike kama Daktari! Mtu amepewa PhD ya heshima kesho naye anaanza kujiita/kuitwa Daktari!
Huzijui PhD za Chiba wewe. Rafuta hata wahitimu wawili waliomaliza vyuo vya China utasikitikaElimu ya tanzania imekuwa jalala la wanasiasa watawala yani elimu wanazojipa mpaka imefanya nchi za wenzetu kuanza kuongeza masharti.
Kwa nchi ya china sasa kama unataka kupata PHD inatakiwa kubuni kitu ambacho hakitakuwepo na kinaweza kusaidia nchi mpaka dunia ndio unapewa PHD.
Huyu masuya na raisi wa mawe msitegemee PHD tena china za kupewa labda mpewe za October 25