Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Dunia ijitayarishe kushuhudia vita vya kweli vya tatu vya dunia kutokana na mzozo wa Ukraine na Gaza.
Kwa upande wa Gaza kinachoendelea ni rehma za Allah kuonesha uwezo wake ambapo Marekani na ukubwa wake na ukatili wa Israel inayoshirikiana nayo wataangushwa chini na watu dhaifu kuliko wote duniani ambao wanapigagana wakiwa wamefungwa mikono na wamenyimwa chakula na maji,
Ama kwa upande wa Ukraine Marekani hiyo hiyo inayoisaidia Israeli kupambana na kikundi dhaifu kwa kule imepelekewa adui ambaye anawadhoofisha kiuchumi na kisilaha.Kila siku wanapeleka silaha kwa tamaa ya kushinda.Wakiona hali imekuwa mbaya wanazuia.Wakiona adui wa Ukraine amekuwa mgumu wanaahidi kupeleka tena silaha.Kwa kifupi ni kupigana katika kuchanganyikiwa.
Zaidi ya hapo kuna mbabe mkubwa wa dunia ambaye Marekani imekuwa ikipigana nayo kiuchumi kwa kuogopa kuingia kwa kutumia silaha.Adui huyo katika siku za karibuni ameonesha uwezo wake wa kijeshi pale alipopeleka teknolojia zake kimajaribia na zikaonekana kufanya vyema ndani ya Pakistan na Iran.
Adui huyo ni Chima ambaye wiki iliyopita aliweka wazi kuwa hatakubali kamwe kuona Urusi ikishindwa na Ukraine inayosaidiwa na NATO chini ya uongozi wa Marekani.Mwenye macho hapo ataona kuwa kwa ukaidi wa Marekani chini ya Trump vita vya tatu vya dunia viko karibu kabisa.
Mataifa yaliyokwishatanguliza mguu katika vita vya tatu vya dunia upande wa Marekani chini ya Nato ni Uiengereza na mataifa kadhaa ya Ulaya.Kwa upande wa Urusi tayari Korea ya kaskazini imeshaitangulia China katika ahadi ya kutoiacha Urusi ishindwe na Ukraine.North Korea wanapeleka silaha na askari kwa wingi kuisaidia Urusi na bila kificho.
===
Chinese Foreign Minister Wang Yi told the European Union’s top diplomat that Beijing can’t accept Russia losing its war against Ukraine as this could allow the United States to turn its full attention to China, an official briefed on the talks said, contradicting Beijing’s public position of neutrality in the conflict.
The admission came during what the official said was a four-hour meeting with EU foreign affairs chief Kaja Kallas on Wednesday in Brussels that “featured tough but respectful exchanges, covering a broad range of issues from cyber security, rare earths to trade imbalances, Taiwan and Middle East.”
The official said Wang’s private remarks suggested Beijing might prefer a protracted war in Ukraine that keeps the United States from focusing on its rivalry with China. They echo concerns of critics of China’s policy that Beijing has geopolitically much more at stake in the Ukrainian conflict than its admitted position of neutrality.
On Friday, at a regular Chinese Ministry of Foreign Affairs briefing, spokeswoman Mao Ning was asked about the exchange, which was first reported in the South China Morning Post, and re-affirmed Beijing’s long-standing position on the three-year war.
“China is not a party to the Ukraine issue,” Mao said. “China’s position on the Ukraine crisis is objective and consistent, that is, negotiation, ceasefire and peace. A prolonged Ukraine crisis serves no one’s interests.”
She added that China wanted a political settlement as quickly as possible: “Together with the international community and in light of the will of the parties concerned, we will continue playing a constructive role towards this end.”
China’s public statements on the Ukraine war mask a more complex picture.
Just weeks before Russia launched its full-scale invasion of Ukraine, Chinese leader Xi Jinping declared a “no limits” partnership with Moscow and since then political and economic ties have strengthened.
Sorce CNN - July 4, 2025