China imezindua bunduki mpya, inatumia umeme inatoa risasi 3,000 kwa dakika

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Coil Gun china 2025_20250601_165438_0000.png

China imetambulisha bunduki mpya aina ya electronic magnetic coil Gun yenye uwezo wa kurusha risasi 3,000 kwa dakika bila kutumia mfumo wa baruti (gunpowder) au mifumo ya kawaida.

Imeundwa na chuo kikuu cha uhandisi cha Jeshi la PLA, silaha hi8 inategemea betri la lithiamu ioni na koili 20 za shaba ili kuzindua kimya kimya projectiles za chuma kwa kasi ya juu.

2_20250601_165347_0001.png

Hii tofauti na silaha hii aina ya CS /LW21 ambayo ilikua inatumika kwa Masuala ya kudhibiti ghasia / maandamano tu.

Muundo huu mpya umeundwa kwa Matumizi ya kutumika kwenye uwanja wa vita. Inatumia switch za semiconductor zilizothibitiwa na Akili bandia ili kuratibu kwa usahihi kila Risasi inayotoka ikitoa moto thabiti na wa haraka.

3_20250601_165347_0002.png

Unaposhambulia adui ni mfumo ambao unatoa risasi bila kusikika wala mwanga (flash) au kelele na kuifanya kufaa sana kwenye shughuli za siri.

6_20250601_165347_0005.png

Ingawa kasi yake ya risasi ni tofauti na silaha aina ya AK 47 kwa kuwa bado iko kwenye maboresho inawezekana ikawa bora zaidi mbeleni kuendana na sliaha za kawaida au kuzizidi zaidi.

4_20250601_165347_0003.png
5_20250601_165347_0004.png

Ikiwa itatengenezwa kwa mafanikio, bunduki hii ya koili inaweza kuashiria mabadiliko makubwa katika teknolojia ya silaha ndogo ndogo na kuiweka China mbele katika kinyang'anyiro cha silaha za sumaku-umeme za kizazi kijacho.
 
So what? So Tanzania itumie kuua raia wake? Tukisema genzee wa Kenya wana akili kuliko wazee na wanasiasa wa Tz mnakasirika na kuja na mipasho
 
So what? So Tanzania itumie kuua raia wake? Tukisema genzee wa Kenya wana akili kuliko wazee na wanasiasa wa Tz mkanasirika na kuja na mipasho
Itafaa Sanaa Tanzania waitumie kwa wahalifu kwani inapunguza kelele unamaliza muhalifu kimyq kimyq
 
View attachment 3353008

China imetambulisha bunduki mpya aina ya electronic magnetic coil Gun yenye uwezo wa kurusha risasi 3,000 kwa dakika bila kutumia mfumo wa baruti (gunpowder) au mifumo ya kawaida.

Imeundwa na chuo kikuu cha uhandisi cha Jeshi la PLA, silaha hi8 inategemea betri la lithiamu ioni na koili 20 za shaba ili kuzindua kimya kimya projectiles za chuma kwa kasi ya juu.

View attachment 3353011

Hii tofauti na silaha hii aina ya CS /LW21 ambayo ilikua inatumika kwa Masuala ya kudhibiti ghasia / maandamano tu.

Muundo huu mpya umeundwa kwa Matumizi ya kutumika kwenye uwanja wa vita. Inatumia switch za semiconductor zilizothibitiwa na Akili bandia ili kuratibu kwa usahihi kila Risasi inayotoka ikitoa moto thabiti na wa haraka.

View attachment 3353013

Unaposhambulia adui ni mfumo ambao unatoa risasi bila kusikika wala mwanga (flash) au kelele na kuifanya kufaa sana kwenye shughuli za siri.

View attachment 3353018

Ingawa kasi yake ya risasi ni tofauti na silaha aina ya AK 47 kwa kuwa bado iko kwenye maboresho inawezekana ikawa bora zaidi mbeleni kuendana na sliaha za kawaida au kuzizidi zaidi.

View attachment 3353015View attachment 3353016

Ikiwa itatengenezwa kwa mafanikio, bunduki hii ya koili inaweza kuashiria mabadiliko makubwa katika teknolojia ya silaha ndogo ndogo na kuiweka China mbele katika kinyang'anyiro cha silaha za sumaku-umeme za kizazi kijacho.

HUU UGUNDUZI SIONI UKIWA NA TIJA
Yaani risasi 3000 kwa dakika????? wakati sioni hiyo bunduki ikibeba risasi nyingi...
Hata hivyo risasi zikitoka nyingi hivyo kwa kiasi kikubwa itaongeza gharama ya kuzinunua na nyingi hazitalenga target hivyo huu ugunduzi sioni ukiwa na tija
 
Wachina huwa wanasikika kwenye uzinduzi tu, kwenye mwendelezo huwa hawapo. Kwenye mwendelezo utasikia wamepata tender ya ujenzi wa barabara nchini Tanzania
 
na utashangaa soko lake kubwa litakuwa huku klwetu kwenye vizazi vya giza kwao akhaaaaaaaaaaaaa wanauza tu wala hawatumii ila huko sasa kwa migozi myeusi loh.
 
China imetambulisha bunduki mpya aina ya electronic magnetic coil Gun yenye uwezo wa kurusha risasi 3,000 kwa dakika bila kutumia mfumo wa baruti (gunpowder) au mifumo ya kawaida.

Imeundwa na chuo kikuu cha uhandisi cha Jeshi la PLA, silaha hi8 inategemea betri la lithiamu ioni na koili 20 za shaba ili kuzindua kimya kimya projectiles za chuma kwa kasi ya juu.

Hii tofauti na silaha hii aina ya CS /LW21 ambayo ilikua inatumika kwa Masuala ya kudhibiti ghasia / maandamano tu.

Muundo huu mpya umeundwa kwa Matumizi ya kutumika kwenye uwanja wa vita. Inatumia switch za semiconductor zilizothibitiwa na Akili bandia ili kuratibu kwa usahihi kila Risasi inayotoka ikitoa moto thabiti na wa haraka.

Unaposhambulia adui ni mfumo ambao unatoa risasi bila kusikika wala mwanga (flash) au kelele na kuifanya kufaa sana kwenye shughuli za siri.

Ingawa kasi yake ya risasi ni tofauti na silaha aina ya AK 47 kwa kuwa bado iko kwenye maboresho inawezekana ikawa bora zaidi mbeleni kuendana na sliaha za kawaida au kuzizidi zaidi.

Ikiwa itatengenezwa kwa mafanikio, bunduki hii ya koili inaweza kuashiria mabadiliko makubwa katika teknolojia ya silaha ndogo ndogo na kuiweka China mbele katika kinyang'anyiro cha silaha za sumaku-umeme za kizazi kijacho.
Imeundwa na chuo kikuu cha uhandisi cha Jeshi la PLA, silaha hi8 inategemea betri la lithiamu ioni na koili 20 za shaba ili kuzindua kimya kimya projectiles za chuma kwa kasi ya juu.
 
HUU UGUNDUZI SIONI UKIWA NA TIJA
Yaani risasi 3000 kwa dakika????? wakati sioni hiyo bunduki ikibeba risasi nyingi...
Hata hivyo risasi zikitoka nyingi hivyo kwa kiasi kikubwa itaongeza gharama ya kuzinunua na nyingi hazitalenga target hivyo huu ugunduzi sioni ukiwa na tija
Tupe Sasa Huo Ugunduzi Wako Wenye Tija...
 
NIPO KWA RESEACH YA KUONA NAMNA YA KUSAFIRISHA UMEME BILA KUTUMIA NGUZO NA HIVYO KUOKOA MABILIONI YA PESA lakini pia naangalia kama tunaweza kuzalisha internet yetu wenyewe hapa nyumbani na kuacha kabisa kutegemea Internet inayozalishwa Marekani na kutufikia kwa gharama kubwa!
 
Back
Top Bottom