Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Itafaa Sanaa Tanzania waitumie kwa wahalifu kwani inapunguza kelele unamaliza muhalifu kimyq kimyqSo what? So Tanzania itumie kuua raia wake? Tukisema genzee wa Kenya wana akili kuliko wazee na wanasiasa wa Tz mkanasirika na kuja na mipasho
Una lako jambo aiseehZitengenezwe nyingi Kisha Kila mwenye uwezo anunue kama tunavyonunua panga na shoka
Lengo kujilinda
View attachment 3353008
China imetambulisha bunduki mpya aina ya electronic magnetic coil Gun yenye uwezo wa kurusha risasi 3,000 kwa dakika bila kutumia mfumo wa baruti (gunpowder) au mifumo ya kawaida.
Imeundwa na chuo kikuu cha uhandisi cha Jeshi la PLA, silaha hi8 inategemea betri la lithiamu ioni na koili 20 za shaba ili kuzindua kimya kimya projectiles za chuma kwa kasi ya juu.
View attachment 3353011
Hii tofauti na silaha hii aina ya CS /LW21 ambayo ilikua inatumika kwa Masuala ya kudhibiti ghasia / maandamano tu.
Muundo huu mpya umeundwa kwa Matumizi ya kutumika kwenye uwanja wa vita. Inatumia switch za semiconductor zilizothibitiwa na Akili bandia ili kuratibu kwa usahihi kila Risasi inayotoka ikitoa moto thabiti na wa haraka.
View attachment 3353013
Unaposhambulia adui ni mfumo ambao unatoa risasi bila kusikika wala mwanga (flash) au kelele na kuifanya kufaa sana kwenye shughuli za siri.
View attachment 3353018
Ingawa kasi yake ya risasi ni tofauti na silaha aina ya AK 47 kwa kuwa bado iko kwenye maboresho inawezekana ikawa bora zaidi mbeleni kuendana na sliaha za kawaida au kuzizidi zaidi.
View attachment 3353015View attachment 3353016
Ikiwa itatengenezwa kwa mafanikio, bunduki hii ya koili inaweza kuashiria mabadiliko makubwa katika teknolojia ya silaha ndogo ndogo na kuiweka China mbele katika kinyang'anyiro cha silaha za sumaku-umeme za kizazi kijacho.
Wachina huwa wanasikika kwenye uzinduzi tu, kwenye mwendelezo huwa hawapo. Kwenye mwendelezo utasikia wamepata tender ya ujenzi wa barabara nchini TanzaniaView attachment 3353008
China imetambulisha bunduki mpya aina ya electronic magnetic coil Gun yenye uwezo wa kurusha risasi 3,000 kwa dakika bila kutumia mfumo wa baruti (gunpowder) au mifumo ya kawaida.
Imeundwa na chuo kikuu cha uhandisi cha Jeshi la PLA, silaha hi8 inategemea betri la lithiamu ioni na koili 20 za shaba ili kuzindua kimya kimya projectiles za chuma kwa kasi ya juu.
View attachment 3353011
Hii tofauti na silaha hii aina ya CS /LW21 ambayo ilikua inatumika kwa Masuala ya kudhibiti ghasia / maandamano tu.
Muundo huu mpya umeundwa kwa Matumizi ya kutumika kwenye uwanja wa vita. Inatumia switch za semiconductor zilizothibitiwa na Akili bandia ili kuratibu kwa usahihi kila Risasi inayotoka ikitoa moto thabiti na wa haraka.
View attachment 3353013
Unaposhambulia adui ni mfumo ambao unatoa risasi bila kusikika wala mwanga (flash) au kelele na kuifanya kufaa sana kwenye shughuli za siri.
View attachment 3353018
Ingawa kasi yake ya risasi ni tofauti na silaha aina ya AK 47 kwa kuwa bado iko kwenye maboresho inawezekana ikawa bora zaidi mbeleni kuendana na sliaha za kawaida au kuzizidi zaidi.
View attachment 3353015View attachment 3353016
Ikiwa itatengenezwa kwa mafanikio, bunduki hii ya koili inaweza kuashiria mabadiliko makubwa katika teknolojia ya silaha ndogo ndogo na kuiweka China mbele katika kinyang'anyiro cha silaha za sumaku-umeme za kizazi kijacho.
na kulazimishwa kutumia vyoo badala ya kunya porini , yaani the world is not fair kabisa!
!
Sisi Tupo Na Kuhangaika Na Kuhamasishana Kunawa Mikono Kabla Ya Kula.
Hi taarifa ni ya uongo (FAKE NEWS!)Israel imegundua mtambo wa kuzidaka drone zote na kuzigeuzia kwa adui
Imeundwa na chuo kikuu cha uhandisi cha Jeshi la PLA, silaha hi8 inategemea betri la lithiamu ioni na koili 20 za shaba ili kuzindua kimya kimya projectiles za chuma kwa kasi ya juu.
China imetambulisha bunduki mpya aina ya electronic magnetic coil Gun yenye uwezo wa kurusha risasi 3,000 kwa dakika bila kutumia mfumo wa baruti (gunpowder) au mifumo ya kawaida.
Imeundwa na chuo kikuu cha uhandisi cha Jeshi la PLA, silaha hi8 inategemea betri la lithiamu ioni na koili 20 za shaba ili kuzindua kimya kimya projectiles za chuma kwa kasi ya juu.
Hii tofauti na silaha hii aina ya CS /LW21 ambayo ilikua inatumika kwa Masuala ya kudhibiti ghasia / maandamano tu.
Muundo huu mpya umeundwa kwa Matumizi ya kutumika kwenye uwanja wa vita. Inatumia switch za semiconductor zilizothibitiwa na Akili bandia ili kuratibu kwa usahihi kila Risasi inayotoka ikitoa moto thabiti na wa haraka.
Unaposhambulia adui ni mfumo ambao unatoa risasi bila kusikika wala mwanga (flash) au kelele na kuifanya kufaa sana kwenye shughuli za siri.
Ingawa kasi yake ya risasi ni tofauti na silaha aina ya AK 47 kwa kuwa bado iko kwenye maboresho inawezekana ikawa bora zaidi mbeleni kuendana na sliaha za kawaida au kuzizidi zaidi.
Ikiwa itatengenezwa kwa mafanikio, bunduki hii ya koili inaweza kuashiria mabadiliko makubwa katika teknolojia ya silaha ndogo ndogo na kuiweka China mbele katika kinyang'anyiro cha silaha za sumaku-umeme za kizazi kijacho.
Kupimana ushoga na usagaji kabla ya kuingia bungeni.!
!
Sisi Tupo Na Kuhangaika Na Kuhamasishana Kunawa Mikono Kabla Ya Kula.
Tupe Sasa Huo Ugunduzi Wako Wenye Tija...HUU UGUNDUZI SIONI UKIWA NA TIJA
Yaani risasi 3000 kwa dakika????? wakati sioni hiyo bunduki ikibeba risasi nyingi...
Hata hivyo risasi zikitoka nyingi hivyo kwa kiasi kikubwa itaongeza gharama ya kuzinunua na nyingi hazitalenga target hivyo huu ugunduzi sioni ukiwa na tija
NIPO KWA RESEACH YA KUONA NAMNA YA KUSAFIRISHA UMEME BILA KUTUMIA NGUZO NA HIVYO KUOKOA MABILIONI YA PESA lakini pia naangalia kama tunaweza kuzalisha internet yetu wenyewe hapa nyumbani na kuacha kabisa kutegemea Internet inayozalishwa Marekani na kutufikia kwa gharama kubwa!Tupe Sasa Huo Ugunduzi Wako Wenye Tija...