asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,014
Wacha kukwepa mada..jibu hoja kwa hoja sio na swali ndugu. Ni dhahiri hakuna unachojua kuhusu mkopo wa SGR. Hayo mengine yote ni hadithi.Kuna vitu vingine bora usivione. Maana ni maumivu tu. Hivi hata unajua ya kuwa kuna ghost company iliyo lease ndege KQ na nyingine inaoperate SGR!!?