China in Africa: win-win development, or a new colonialism?

Kuna vitu vingine bora usivione. Maana ni maumivu tu. Hivi hata unajua ya kuwa kuna ghost company iliyo lease ndege KQ na nyingine inaoperate SGR!!?
Wacha kukwepa mada..jibu hoja kwa hoja sio na swali ndugu. Ni dhahiri hakuna unachojua kuhusu mkopo wa SGR. Hayo mengine yote ni hadithi.
 
Hata hivyo ni vizuri nikusambazie maarifa. Mfumo wa kujenga SGR ni ule wa BOT yaani build operate transfer. Kampuni unayotaja halina hatia kwani ni kampuni iliyosajiliwa nchini Kenya ku OPERATE reli ya sgr kabla ya ku TRANSFER kwa serikali baadaye.
 
Ni kweli kabisa hakuna ninachojua kuhusu mkopo wa SGR YENYU.
Hata walipokosa additional financing ya mpaka malaba, nayo nilikuwa sijui.
 
Hata hivyo ni vizuri nikusambazie maarifa. Mfumo wa kujenga SGR ni ule wa BOT yaani build operate transfer. Kampuni unayotaja halina hatia kwani ni kampuni iliyosajiliwa nchini Kenya ku OPERATE reli ya sgr kabla ya ku TRANSFER kwa serikali baadaye.

Ahaaa haaa haaa
A person whom you are trying to argue with is a PPP expert, who has been participating in several PPP projects advisory teams for about a decade.
By the way, do you know what BOT is all about, leave alone the PPP model!!?
 
Haha if you know about PPP then you should know that there are different types of models that fall under PPP ...BOT being one of them. Wewe ni msomi wa wapi wewe? Unatia aibu
 
Ahaaa haaa haaa
A person whom you are trying to argue with is a PPP expert, who has been participating in several PPP projects advisory teams for about a decade.
By the way, do you know what BOT is all about, leave alone the PPP model!!?

Hehe usiwe mbishi kwa kila kitu mkuu... Jielimishe
 
Please leta data tuone masharti ya Kenya sgr,tuna ngoja.....akileta mnitag
 
Hawezi huyu..ni machungu tu anazo. Mtu anategemea rumors na hadithi bora inaiponda Kenya. Anyway akileta nitakutag πŸ˜…
 
View attachment 1129913
Hehe usiwe mbishi kwa kila kitu mkuu... Jielimishe

Ahaaa haaa haaa
Kwa level yako hiyo huwezi nielimisha mimi. Wewe bado sana. Mimi niko kwenye level transaction advisory team leader ya hiyo model of financing.

Hiyo uliyoweka hapo juu ni kwa ajili ya foundation level.
 
Haha zidi kujifariji. Advisory team na hujui models za PPP? Hivi ni kina nani hao una wa advise? πŸ˜… πŸ˜‚ anyway, nishazima hoja yako ya kampuni inayosimamia reli ya SGR na mfumo wake. Punguza porojo.
 
Kama uko kwenye level ya advisory board basi no wonder Tz gets the shorter end of the stick...bure kabisa.
 
Bagamoyo itakuwa connected na SGR mwaka gani??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna vitu vingine bora usivione. Maana ni maumivu tu. Hivi hata unajua ya kuwa kuna ghost company iliyo lease ndege KQ na nyingine inaoperate SGR!!?
Hivi unajua Kuna ghost ziliiba betri za ATCL na Kuna pia ghost ya SGR Tz?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nyang'aus having a field day kea huu Uzi, yani project zote za Tz zimeangukia pua hata mwenzako Geza Ulole hataki kuona uzi alioanzisha πŸ˜‚.

Leo nalala na viatu... Nyang'aus hoyeeeeee 🀸🀸🀸
 
Haha zidi kujifariji. Advisory team na hujui models za PPP? Hivi ni kina nani hao una wa advise? πŸ˜… πŸ˜‚ anyway, nishazima hoja yako ya kampuni inayosimamia reli ya SGR na mfumo wake. Punguza porojo.

Ahaaa haaa haaa
πŸ˜… πŸ˜‚
Nani kakwambia sijui model za PPP.
 
Acha nicheke. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] BUAGA LA MWOYO
 
A sigh of relief...thank God you never have, Tz ingekuwa Burundi with such caliber.

Teh teh teh tihiii
I'm working with countries which even your all jamaa have never set their feet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…