Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
๐พ๐๐๐ฃ๐ ๐๐ฃ๐๐๐๐ฃ๐ฎ๐ ๐ข๐๐ข๐๐ค ๐ฎ๐๐จ๐๐ฎ๐ค๐ฌ๐๐ฏ๐๐ ๐๐ฃ๐ ๐ฎ๐๐ค๐ฃ๐๐ ๐๐ฃ๐ ๐ฎ๐๐ฃ๐๐ฌ๐๐ฏ๐๐ ๐๐ฃ๐, Hakika china imefanya Sayansi kuwa kweli.
๐๐ต๐ถ๐ป๐ฎ imefanikiwa kufungua hospital ya kwanza yenye Kutumia ๐ ๐ฎ๐ฟ๐ผ๐ฏ๐ผ๐๐ถ na ๐ง๐ฒ๐ธ๐ป๐ผ๐น๐ผ๐ท๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ (akili Mnemba) ikiwa na wafanyakazi 14 Maroboti wanao tibu zaidi ya wagonjwa 3,000 kila siku.
Hakika wanafanya kazi masaa 24 bila kuchoka , hi ni mustakabali wa Maendeleo kwa miaka ijayo kwa masuala ya huduma ya afya, Hakika mapinduzi ya AI hayakwepeki.