Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Anatumikia bannAione kwenye file Xi Jinping
NimerudiAnatumikia bann
Aione kwenye file Xi Jinping
Lenyewe halina demu ๐๐ kazi kazi bila kuchoka aiseeeh... kwa hiyo hakuna stori za subiri ameenda lunch, amesafiri, yuko likizo, anauguliwa, yuko maternity, yuko honeymoon, and such kind of takatakas hazitakuwepo tena? Lenyewe ni 24/7/365 non-stop? Balaa hili.
China na Japan wako vizuri sana kuzidi nchi nyingi za magharibi yani wako vizuri kwenye masuala ya matumizi ya AI katika kuleta nguvu kazi ๐๐๐Hapa ndipo unaona tofauti ya matumizi ya AI kati ya China na mataifa mengine hasa ya Magharibi.
China inaongoza kwa kutumia AI kwenye production na kutoa services kuliko taifa lingine lolote duniani
Mzee baba ulikosea nn mpaka tukapigwa mvuaNimerudi
Ha ha ha! Hali-sex hali-sexiwi! Kazi kazi safi sana. Sometimes ngono kitovu cha uzembe alituonya Chonya of Chilonwa kupitia riwaya yake ile wote mmefundishwa shuleni huko.Lenyewe halina demu ๐๐ kazi kazi bila kuchoka aiseeeh
@Xi Jinping lijibu hili swali wakwetu,kwamaana bila wewe china hainogiMzee baba ulikosea nn mpaka tukapigwa mvua
Umesema vyemaChina na Japan wako vizuri sana kuzidi nchi nyingi za magharibi yani wako vizuri kwenye masuala ya matumizi ya AI katika kuleta nguvu kazi ๐๐๐
Mzee baba ulikosea nn mpaka tukapigwa mvua
lile robot na nape walipeleke muhimbili pale likapokee wageniView attachment 3325407
๐พ๐๐๐ฃ๐ ๐๐ฃ๐๐๐๐ฃ๐ฎ๐ ๐ข๐๐ข๐๐ค ๐ฎ๐๐จ๐๐ฎ๐ค๐ฌ๐๐ฏ๐๐ ๐๐ฃ๐ ๐ฎ๐๐ค๐ฃ๐๐ ๐๐ฃ๐ ๐ฎ๐๐ฃ๐๐ฌ๐๐ฏ๐๐ ๐๐ฃ๐, Hakika china imefanya Sayansi kuwa kweli.
๐๐ต๐ถ๐ป๐ฎ imefanikiwa kufungua hospital ya kwanza yenye Kutumia ๐ ๐ฎ๐ฟ๐ผ๐ฏ๐ผ๐๐ถ na ๐ง๐ฒ๐ธ๐ป๐ผ๐น๐ผ๐ท๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ (akili Mnemba) ikiwa na wafanyakazi 14 Maroboti wanao tibu zaidi ya wagonjwa 3,000 kila siku.
Hakika wanafanya kazi masaa 24 bila kuchoka , hi ni mustakabali wa Maendeleo kwa miaka ijayo kwa masuala ya huduma ya afya, Hakika mapinduzi ya AI hayakwepeki.
Kwani walitengeneza wachina lile๐๐๐lile robot na nape walipeleke muhimbili pale likapokee wageni
No excuse... kwa hiyo hakuna stori za subiri ameenda lunch, amesafiri, yuko likizo, anauguliwa, yuko maternity, yuko honeymoon, and such kind of takatakas hazitakuwepo tena? Lenyewe ni 24/7/365 non-stop? Balaa hili.
Na sindano wanachoma?View attachment 3325407