Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Serikali ya China inapanga kujenga bwawa la umeme lengine kubwa zaidi duniani mara tatu la sasa Three gorges dam lenye uwezo wa kuzalisha Megawatts 22,500 MW lilipo Yangtze River, Hubei province.
Three Gorges Dam
Bwawa hilo jipya litakalo jengwa Yarlung Tsangpo river ndani ya Tibet litakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme mara tatu ya bwawa la Three gorges litakuwa na uwezo wa kuzalisha 300 bilion kWh.
Serikali ya China imetenga budget ya dollar $127 Bln ambazo ni sawa na zaidi ya trillion 300 kwa fedha za kitanzania.
Ujenzi wa bwawa hili ni moja ya mipango ya serikali ya China ya kuondoa kiwango kikubwa cha uzalishaji wa gesi ukaa 2060.