China inapanga kujenga bwawa la umeme kubwa zaidi

China inapanga kujenga bwawa la umeme kubwa zaidi

Factors zote za ukamilishaji wa bwawa hilo wanazo.
  1. Wana uwezo wa kifedha kutekeleza mradi huo
  2. Wana uwezo wa kiteknolojia. Imethibitishwa kwa kukamlisha mradi wa three gorges
  3. Wana uwezo wa rasilimali watu, wana wasomi wengi sana kwenye fani za uzalishaji umeme wa nguvu ya maji
  4. Wana mahitaji ya umeme huo, ili waondokane na matumizi ya makaa ya mawe
Sahihi
 
Serikali ya China inapanga kujenga bwawa la umeme lengine kubwa zaidi duniani mara tatu la sasa Three gorges dam lenye uwezo wa kuzalisha Megawatts 22,500 MW lilipo Yangtze River, Hubei province.
View attachment 3189569View attachment 3189570
Three Gorges Dam

Bwawa hilo jipya litakalo jengwa Yarlung Tsangpo river ndani ya Tibet litakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme mara tatu ya bwawa la Three gorges litakuwa na uwezo wa kuzalisha 300 bilion kWh.

Serikali ya China imetenga budget ya dollar $127 Bln ambazo ni sawa na zaidi ya trillion 300 kwa fedha za kitanzania.

Ujenzi wa bwawa hili ni moja ya mipango ya serikali ya China ya kuondoa kiwango kikubwa cha uzalishaji wa gesi ukaa 2060.
Naona India inapiga kelele maana maana linajengwa karibu na mpaka wake halafu wanadai atafanya maji kuwa kidogo wakati wakulijaza.
Kama lile lingine walidai limetilt dunia kwa nyuzi kadhaa. Hili litaifanyaje
 
Naona India ina maana maana linajengwa karibu na mpaka wake halafu wanadai atafanya maji kuwa kidogo wakati wakulijaza.
Kama lile lingine walidai limetilt dunia kwa nyuzi kadhaa. Hili litaifanyaje
Sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom