China inaunda roboti mwenye uwezo wa kubeba mimba na kuzalisha binadamu

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


Kweli muda unakimbia sana πŸ•¦, kutoka Kuwa movie mpaka maisha Halisi watu watakua na uwezo wa kufunga ndoa na maroboti wa Ai, na Roboti zitakua na uwezo wa kubeba Mimba.


China iko kwenye mpango wa kutengeneza roboti mwenye uwezo mkubwa wa kuweza kuzaa binadamu. Tumbo la uzazi la bandia (artificial womb) litaweza kupokea virutubisho kupitia bomba. Ambapo Roboti ataweza kubeba Mimba ndani ya miezi Kumi kabla ya kujifungua.



Maroboti hayo yamebuniwa na Dk Zhang Qifeng ambaye ni mwanzilishi wa kaiwa Technology ambayo inapatikana Guangzhou nchini China. Ikiwa yote yataenda kulingana na mpango, mfano huo utafanya kwanza mwaka ujao.



Kwa wale binadamu wenye changamoto ya kudhaa wataweza kukodisha Roboti la kubeba mimba. Ambapo ataweza kugharimu yuan 100,000, $13,928.



Bei ya chini kwa sasa Utaweza kuipata marekani kutoka dola 100,000 na kuwa hadi dola $200,000.

#chinaπŸ‡¨πŸ‡³ #biotech #robotics #womb #kujifungua #chinatech #bongotech255
 
Mbona surrogacy zipo miaka mingj tofauti sahivi wanaweka kwenye roboti sio mashine za kawaida. Nadhani mimba inakuziwa humo sio kama ndio linabeba mimba lenyewe kma lenyewe niseme unaazimwa tumbo la kutunzia mimba tofauti tu ni hili ni tumbo la chuma sio la surrogate mother wa kibinadamu
 
kiki sumbua ki toto ki vuta bangi natimua usiku usiku kiende kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…