Na usisahau kuwa Huawei wameanza kutest mashine zao za lithography. Huenda soon ASML ambayo ndiyo ilikuwa kampuni pekee yenye kuunda hizo mashine duniani itaanza kulia kilio cha mbwa kokoKwa mashirika ya anga ya nchi zilizofanya assembling na maintanance ya ISS
NASA (Marekani), Roscosmos(Russia), ESA (Europe), JAXA (Japan) na CSA (Canada)
Hapq wametisha sana kama bomu la Hydrogen
Na usisahau kuwa Huawei wameanza kutest mashine zao za lithography. Huenda soon ASML ambayo ndiyo ilikuwa kampuni pekee yenye kuunda hizo mashine duniani itaanza kulia kilio cha mbwa koko
Lazima zitakuwa cheap na hapo ataanza fyatua chips zake azidi kamata soko na kuwauzia wengine. Mchina mwisho atatengeneza kila kitu.Umesema vyema
Hiki kilio kitaenda hata kwa TSMC na Qualcomm
Na Mchina akianza mass production ya advanced semiconductors kwa kutumia EUV machines zake lazima azitoe sokoni chips za chi za Magharibi, Japan na South Korea
Ubunifu wa watu wa taifa linalojulikana sasa kama Uchina katika nyanja mbalimbali ni tangu enzi na enzi (zaidi hata ya miaka elfu mbili iliyopita), jambo ambalo lipo well documented katika historia.
Lazima zitakuwa cheap na hapo ataanza fyatua chips zake azidi kamata soko na kuwauzia wengine. Mchina mwisho atatengeneza kila kitu.
Ulaya wapo wapo tu
Ikiuma useme.... Kwani unaumia?Mkuu unalipwa kamisheni na china kuwapigia debe?
Waliwahi kuwekewa vikwazo wasi import tunnel boring machines, engineers wakaunda ya kwao. Waliwahi kuwekewa vikwazo wasipate dawa mujarabu ya maleria enzi za Vietnam War, mwanamama Tu YouYou akaja na formula bora kabisa ya
Artemisinin kutibu Malaria.
Hilo swali nimemuuliza mleta mada mkuu.Ikiuma useme.... Kwani unaumia?