China is unstopable! Historia iko wazi huwezi kuizuia China kwenye innovations. Usipoona ya TSS, na BeiDou utaona ya HarmonyOS na EUV

China is unstopable! Historia iko wazi huwezi kuizuia China kwenye innovations. Usipoona ya TSS, na BeiDou utaona ya HarmonyOS na EUV

Kwa mashirika ya anga ya nchi zilizofanya assembling na maintanance ya ISS

NASA (Marekani), Roscosmos(Russia), ESA (Europe), JAXA (Japan) na CSA (Canada)
Na usisahau kuwa Huawei wameanza kutest mashine zao za lithography. Huenda soon ASML ambayo ndiyo ilikuwa kampuni pekee yenye kuunda hizo mashine duniani itaanza kulia kilio cha mbwa koko
 
Ubunifu wa watu wa taifa linalojulikana sasa kama Uchina katika nyanja mbalimbali ni tangu enzi na enzi (zaidi hata ya miaka elfu mbili iliyopita), jambo ambalo lipo well documented katika historia.
 
Na usisahau kuwa Huawei wameanza kutest mashine zao za lithography. Huenda soon ASML ambayo ndiyo ilikuwa kampuni pekee yenye kuunda hizo mashine duniani itaanza kulia kilio cha mbwa koko
Umesema vyema

Hiki kilio kitaenda hata kwa TSMC na Qualcomm

Na Mchina akianza mass production ya advanced semiconductors kwa kutumia EUV machines zake lazima azitoe sokoni chips za nchi za Magharibi, Japan na South Korea
 
Umesema vyema

Hiki kilio kitaenda hata kwa TSMC na Qualcomm

Na Mchina akianza mass production ya advanced semiconductors kwa kutumia EUV machines zake lazima azitoe sokoni chips za chi za Magharibi, Japan na South Korea
Lazima zitakuwa cheap na hapo ataanza fyatua chips zake azidi kamata soko na kuwauzia wengine. Mchina mwisho atatengeneza kila kitu.
Ulaya wapo wapo tu
 
Ubunifu wa watu wa taifa linalojulikana sasa kama Uchina katika nyanja mbalimbali ni tangu enzi na enzi (zaidi hata ya miaka elfu mbili iliyopita), jambo ambalo lipo well documented katika historia.
China wamerudia their glory era ya miaka iliyopita kabla ya foreign invasion

Kipindi cha foreign invasions karne ya 19 ndicho kiliirudisha nyuma sana China mfano ni Opium Wars

Sasa wameanza kurudia enzi zao za golden age
 
Lazima zitakuwa cheap na hapo ataanza fyatua chips zake azidi kamata soko na kuwauzia wengine. Mchina mwisho atatengeneza kila kitu.
Ulaya wapo wapo tu
Umesema vyema

Hapo itakuwa ni mwendo wa kununua high end chips at a reasonable price

Marekani ilifikiri kuwa China haitaweza kuadvance kwenye high end chips

Ulaya walichokosea ni kukubali kuwa U.S vassal states hata Japan na South Korea nao wamekubali hilo.

Marekani huwa ana sera za kuwadumaza allies wake wamtegemee na sio wamzidi
 
Waliwahi kuwekewa vikwazo wasi import tunnel boring machines, engineers wakaunda ya kwao. Waliwahi kuwekewa vikwazo wasipate dawa mujarabu ya maleria enzi za Vietnam War, mwanamama Tu YouYou akaja na formula bora kabisa ya

Artemisinin kutibu Malaria.​

Sahihi kabisa

Na kwa sasa China ndiye expoter mkubwa wa tunnel boring machines (TBM). Na boring machine kubwa zaidi duniani iko China

Enzi hizo Marekani iliibania sana China

China’s manufacturing success is based on the principle of “If it can be made, it will be made in China!”
 
Back
Top Bottom