NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,278
- 24,079
Lakini mleta mada anasema hivi"China itautukisa uchumi wa marekani ikiwa tu wanawake wa China watazaa na waafrica"
yani hapo sasa maana yake ni rasilimali za Africa zitumike kuongeza nguvu ya uchumi wa uchina kupitia huo undugu wa uchotara ili sasa iwerahisi uchina kuipiku U.S.
Lengo sio kumbadilisha muafrica ajitambue hapana,bali lengo ni kuunga undugu wa damu ili iwe rahisi kuvuna rasilimali nguvu,madini,ardhi,misitu n.k ili mjomba wetu mchina amzidi U.S.