Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 242
- 288
We mchina mweusi mbona Trump kaputa mchanga tayari kwa pambano huyo china kama mwanaume kweli apute basi sio kuongea hakiwa chumbani wakati mwanaume mwenzie yupo nje anamsubiri alafu acha ufala siku siku nyingineWamezungumzia aina yoyote ya vita iwe ni ya kibiashara au kuzichapa kabisa
We mchina mweusi mbona Trump kaputa mchanga tayari kwa pambano huyo china kama mwanaume kweli apute basi sio kuongea hakiwa chumbani wakati mwanaume mwenzie yupo nje anamsubiri alafu acha ufala siku siku nyingine
tafuta ziara ya pelosi taiwan before kwenda huko dada china alibweka nn ksha uje hapa ukiwa una akili timamu.Walisema watafanya nini ?
sidhan kama una akili timamu ww au pengne tupo humu tunabshana AI za mchongo toka china maana eti unajdai hujui china alionya nn khs pelosi kutua taiwan halafu mtu usiyejua hata hii taarifa ndogo bado unataka tuendelee bshana humu kweli ww na mumeo humu anayejiita xi jiping mko humu kmkakati kutetea china tu mkibanwa ndo mnajdai hamjui taarifa hiyo enyi wachina boko bunju ni nani amewaloga.Duuh! hii kitu umepatiwa wapi wewe ?
mwambien china aitwae taiwan kama yeye ana akili kwelikweli, ajabu ewe mchina wa mbagala unajua marekani yuko hoi kivita ila wachina wnyw hawathubutu kumgusa taiwan hata kwa kumtemea mate tu ksa analindwa na marekani.vita ni akili , kwasasa USA iko hoi
twambie marekani anahaha na nn naona unandka mapupu tu hakuna fact marekani anahaha wkt china anaogopa kurusha hata jiwe hapo taiwan ksa huyo unayesema ana haha.kwan USA inahaha kwasasa , au unahisi mpk wakuoneshee ndo ujue washafanya?
Ha ha haa nakumbuka kauli kama hizi miaka mitatu iliyopita tulikua tunazisoma kua mwambieni Urusi aivamie Ukraine mtaijua USA .ok asante kwa porojo haya mwambieni aingie taiwan sasa kumbe jeshi la chini sasa ni hatari vp la marekani lenyewe bado lipo vilevile eti eeeh
Mkuu Trump amekukatisha tamaa? Nini?Zipigwe tu kama vp safqri hii sina upande
Himars umebadikika sana ndugu yangu,tuendelee na moyo huohuo.Vita ni mbaya sana
Mh hakuna taifa lingependa kupigana na Marekani, kwanza ili iweje, elewa hivyo. Mchina hapo anafanya diplomasia za kiaina yake.Ha ha haa nakumbuka kauli kama hizi miaka mitatu iliyopita tulikua tunazisoma kua mwambieni Urusi aivamie Ukraine mtaijua USA .
Leo hii nafurahia kabisa kushuhudia Rais wa USA anatafuta amani na Urusi kupitia meza ya mazungumzo.
Ila naziheshimu sana Hollywood movies.
Hata Wayukrein ni ndugu na Warusi lakini walivamiwa, Korea kusini na Kaskazini ni ndugu lakini kila siku kinawakaWataiwan ni Wachina waliokimbilia kwenye kisiwa hicho baada ya mapinduzi
Kwa hiyo ni ndugu zao kuwavamia kijeshi sio kipaumbele cha China, kipaumbele cha China ni peaceful re-unification
Na ndio maana China inawapinga sana separatists walioko Taiwan na wala sio raia wa Taiwan
Marekani ndiyo inataka China ingie Taiwan kivita, ndio maana haiishi chokochoko kwa China juu ya Taiwan
Umeona tofauti ya akili ya Mchina na warmonger state U.S
Hata Wayukrein ni ndugu na Warusi lakini walivamiwa, Korea kusini na Kaskazini ni ndugu lakini kila siku kinawaka
Mikwala ni kitu Cha kawaida sana Kwa mataifa na wasipochukua hatua Haina maana kwamba Haina nguvu la hasha, rejea mikwara ya marekani kuvamia kijeshi dhidi ya Korea kaskazini Kwa Korea kufanya majaribio ya vyuma vyake vya ICBM, Je marekani kuvamia!?unajzma data au siyo hukumbuki china walionya marekani pelosi asiende taiwan na akienda watafanya ktu ambacho marekani hajui, sasa pelosi alikaidi na akaenda tunataka kujua china waliahidi kufanya ktu endapo pelosi angeenda walifanya nn au waliogopa au walifanya uchawi nk twambie sasa ule mkwala ulikuwa wa ktu gani.