China kuanza kutumia Mwezi wake

Huo mwezi wao utakua umbali gani kutoka duniani?
Je utakua unalizunguka dunia kwa muda gani? Positioning yake kati ya jua na mwezi itakuwaje?



 
Hawa sasa wamezidi sia .naitabiria mwisho wa taifa la china ndio hiyo 2022
 
Wataweza kuushikilia huko hewani? Dude lisijeangukia Bongoyo.
nahisi litakuwa Ni li PUTO LIKUBWAAA lenye umbo mfano wa mwezi,watakalo liweka mi balbu yenye mwanga mkali ndani Ili ling'ae halafu Lita shikizwa na kamba au nyuzi Kama TIYARA😂😂😂 kwa hiyo hata likiporomoka hakutakuwa na madhara makubwa
 
Sasa wanatengeneza ili iweje sasa
 
Mwezi ndio unaleta kupwa kwa maji. Inasadikiwa ipo km 250000 toaka ardhini. Kama mwezi huh tulionao ungesogea km 50000 tu basi maji ya bahari ya tafunika maabara yote na ulimwengu uhai unafutika maana vuimbe nchi kavu watakosa jews ya kuvuta. Sasa fikiria china aunde mwezi wake, kwanza huo udongo wa kuunda mwezi nzima anaupata wapi? .Na atauweka umbali gani ili usilete athari ya mvutano na Dunia maji yakameza mabara yote. Sema anaunda kitu chenye mwanga zaidi ya mwezi lakini sio mwezi. Sayansi inagoma kuunda kitu chenye uzito wa mwezi jingine huko angani . Kiite jina jingine lakini sio mwezi huh ulioumbwa na mola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…