China kuanza kutumia Mwezi wake

China kuanza kutumia Mwezi wake

NASA wapprove kwani ni shirika la anga la Chini. Ukweli hauwezi kuwa mwezi wa miamba na udongo kama ulivyo mwezi tunaoujua, bali itakuwa kama liputo likubwa tu linaloreflect mwaka.
Mkuu mmoja amesema wanatengeneza torch kubwa ndio wanaita mwezi.
 
Hawa wahuni wasiuite mwezi huo utopolo wao maana mwezi una sifa zake mbaka uitwe hivyo
Wao waseme tu wanatengeneza Bulb kubwa Kwa ajili ya kumulikia usiku,sio porojo zao za kuuita mwezi

Pumbaf kabisa Hawa!
😂😂😂😂
Hata na mie niliwaza kama wewe Mkuu nadhani kitakuwa kitu kama hicho.
 
Hata na mie niliwaza kama wewe Mkuu nadhani kitakuwa kitu kama hicho.
unajua wachina ni watu wa feki Sana hawashindwi jaribu kitu wale Ili mradi wapige pesa tu

Ukiangalia hata Ile project ya ukuta mkuu wa china Toka enzi zile inaonekana Wana mbinu Sana Leo huwezi amini ukuta uliokua wa kujilinda now unaingiza mabillion ya Dola kila mwaka

Sasa naona project ya bulb kubwa wanayoiita mwezi itaenda kuwaongezea mapato maana hata Mimi lazima nijichange nikaone huo mwezi ni prove wrong Kama sio bulb au la

Ngoja tuone!
 
Kweli mkuu ila wachina wanajua kufanya vitu kwa faida sana
 
Nchi ya China imesema mpango wake wa kutumia mwezi wake binafsi (Chinese's moon) 🌕

Mpango wa China kuanza kutengeneza mwezi wake binafsi ushaanza na China inategemea mwezi huo utakamilika mwaka 2022.

Ifikapo mwaka 2022 china itaanza kutumia mwezi wake ambao utakuwa na mwanga mara 8 zaidi ya mwezi asilia iliyopo
Pia china lengo lao ni kutengeneza jumla miwili ili waje kutumia zaidi ya mwezi mmoja.

Tegemea technologia ya mwezi mpya katika Taifa la china kuanzia mwaka 2022.

View attachment 1840507
Cite a source of your information.
 
Wachina walivyo hodari kutengeneza bidhaa bandia, sipati picha huo mwezi ubandia wake utakuwa kwa kiwango gani?
 
Nani aliyeanza kukutukana? Niliacha kukujibu ila nilivyoona unaanza matusi na mie nikaona ngoja nikupe za USO! Jibu mtu kistaharabu utaonekana una hekima sio kujibu kwa kebehi as if unajua sana kuliko wote duniani.
Kwa nini usikubali tu hujui kitu NASA ndo inamonitor mwendo wa dunia ,kwa hiyo nasa ndo inamonitor aerospace za urusi na na china ,
 
Nchi ya China imesema mpango wake wa kutumia mwezi wake binafsi (Chinese's moon) 🌕

Mpango wa China kuanza kutengeneza mwezi wake binafsi ushaanza na China inategemea mwezi huo utakamilika mwaka 2022.

Ifikapo mwaka 2022 china itaanza kutumia mwezi wake ambao utakuwa na mwanga mara 8 zaidi ya mwezi asilia iliyopo
Pia china lengo lao ni kutengeneza jumla miwili ili waje kutumia zaidi ya mwezi mmoja.

Tegemea technologia ya mwezi mpya katika Taifa la china kuanzia mwaka 2022.

View attachment 1840507
Huku tunapoelekea China atakuja kutengeneza Sayari yake halafu ahamishie raia wake wote humo, na hapo ndio watatuachia dunia yetu.
 
Back
Top Bottom