Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua ajari kama ajari zingineNajaribu kufikiria siki huo mwezi uki collapse itakuwaje? Maana ya mwanadamu hayajakamilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya mbolea, kiwanda cha tooth pick na sindano za kushonea tunacho?Tuna kiwanda cha mbolea Tz?
Watatuharibia usingizi tu, aliyeweka giza hakuwa mjingaHawa wahuni wanataka kutengeneza mapato ya utalii Kwa watakao enda kuushangaa Shenzhen kabisa Hawa wachina dadeq
Hivi sie si tumekubaliana kuanzia kurusha ungo Dar to Gambosh?
😂😂😂
Au ungo unao tumiwa na akina mshana si ungekua utalii toshaHawa wahuni wanataka kutengeneza mapato ya utalii Kwa watakao enda kuushangaa Shenzhen kabisa Hawa wachina dadeq
Hivi sie si tumekubaliana kuanzia kurusha ungo Dar to Gambosh?
😂😂😂
Kama lengo ni mwanga kuna haja ya kurusha li mwezi hewani? Je siku likija kuzingua? NASA wame approve?
Ngoja wasake utalii kwa nguvuKuna tofauti sana kati ya kitu asikia na man made.
Ndiyo maana kutwa watu wanaenda kutalii maeneo yenye vivutio asilia badala ya kutengeneza mbadala wake.
Sent from my Nokia 3.1 using JamiiForums mobile app
NASA si ndio wana monitor Universe? Sasa wakirusha limwezi lao kama nasa hawalijui si wanaweza kujua ni UFO wakaanza plan ya kulilipua?
Hawa wahuni wasiuite mwezi huo utopolo wao maana mwezi una sifa zake mbaka uitwe hivyoWatatuharibia usingizi tu, aliyeweka giza hakuwa mjinga
Ngoja wizara ya utalii ijenge Gambosh project pale makumbusho tutapata na sisi watalii tu au vipi?Au ungo unao tumiwa na akina mshana si ungekua utalii tosha
Project kama izo mara nyingi ni Joint Projects mzee japo NASA wanaweza wasionekane Public ila wapo nao kuhakikisha usalama upoNASA si ndio wana monitor Universe? Sasa wakirusha limwezi lao kama nasa hawalijui si wanaweza kujua ni UFO wakaanza plan ya kulilipua?
100% correct 😅 ✍️Wao waseme tu wanatengeneza Bulb kubwa Kwa ajili ya kumulikia usiku,sio porojo zao za kuuita mwezi
Hawa wahuni wasiuite mwezi huo utopolo wao maana mwezi una sifa zake mbaka uitwe hivyo
Wao waseme tu wanatengeneza Bulb kubwa Kwa ajili ya kumulikia usiku,sio porojo zao za kuuita mwezi
Pumbaf kabisa Hawa!
😂😂😂😂