Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii SGR yenu mnatumia umeme kuendesha train au mafuta ya diesel?Nmekuambia sikujibu utakavyo, unajibiwa kama ilivyo, jibu mnalo tangu mlipoanzisha hizi hoja 2018 na haiji siku tubadilishe, tutaendelea kuteleza kwa SGR huku mkilialia.
Hiyo ndo habari ya mjini tulikuwa tunasikia tuu huko zambia wachina wameshika airport kwaajili ya deni sasa limemkuta jirani. Tuwe makini na wakopeshaji hawa wanaoganga njaa kama uchina.
View attachment 1948738View attachment 1948739
Tatizo la viongozi wetu wa kiafrika au hapa Tanzania ndiyo hawa wakina zitto na genge lake wanaopigania bandari ya bagamoyo ijengwe na Chinese kwa makubaliano ya kihafidhina.Waangalie sana bagamoyo
OkayUkiangalia ni kama ulikuwa uzi wakaunganisha... angalia vizuri tu
😄🤣😂Yaani mkopo mwingine toka IMF ili kuwalipa hawa wavimba macho!!! 😳😳😳
There is a say which says "Lisemwalo lipo kama halipo laja" akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.
Hii SGR yenu mnatumia umeme kuendesha train au mafuta ya diesel?
Ya bagamoyo itakuja kutuletea shida hizi hizi, mzalendo nambari moja aliikataa sasa sijui kama tutasikilizwa kwa sasa, maana naona saiv tumeachwa tuongee kama makopo matupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnahangaika na bagamoyo wakati mikataba ya gesi hamuijui?Waangalie sana bagamoyo
wameongeza kiasi cha tozo kulipia SGR Kenya!Unapiga hela na SGR wakati mafuta bei imepanda!!!!!
Mpunguze propaganda za kijanja, Umepiga screenshot kichwa cha habari kutoka BD- Business Daily (gazeti la kuaminika na kutambulika) ikionyesha kwamba Kenya inapanga kuchukua loan ya IMF ambayo iko na interest ndogo kulipa loan ya China. Taarifa hio ya BD haijataja lolote kuhusu bandari ya Mombasa, imeongelea tu deni la kutoka China linafaaa kulipwa mwaka huu..
![]()
Kenya seeks IMF aid to repay China loans
Kenya is considering using funds from the IMF to repay Chinese loans after it dropped an earlier request to defer debt payments.www.businessdailyafrica.com
Alafu ukaenda ukachukua screenshot ya pilikutoka blogsite ya Kenya-post na kuipachika hapo chini yake
![]()
Desperate UHURU turns to IMF for help as China threatens to take over Mombasa Port if Kenya does not pay back its loan in time – LOOK!
Tuesday, September 21, 2021 – President Uhuru Kenyatta has turned to the International Monetary Fund (IMF) for help to settle loans advanced by the Chinese Government. This is after China decl…kenyan-post.com
Kwa kifupi hii blogsite ilichukua taarifa ya BD na kuongezea chumvi lakini ukweli ni kwamba hakuna mipango yoyote kutoka China kuhusu bandari ya Mombasa .......
Kenya imelipa madeni takriban $8 Billion mwaka huu wa 2021, tulichokua tunaomba kutoka China ni kwamba deni lao la $500 million lisukumwe mbele kwa miezi sita ili tutumie hizo hela kuregesha uchumi mahali sawa.... lakini China wamesema hilo haliwezekani manake tayari walikua washaturuhusu tuskume hilo deni kwa miezi sita pale janga la corona lilipoingia Kenya, so lazima tulipe on time bila kukosa.... Hii ndo maana Kenya imeamua njia moja wepo ni kutumia hela za IMF kumlipa mchina.........
Kwa kifupi ondoa mambo ya bandari ya Mombasa... Bandari ya Mombasa iko na wenyewe.
Kwani wao jirani zetu, wanasemaje?Hiyo ndo habari ya mjini tulikuwa tunasikia tuu huko zambia wachina wameshika airport kwaajili ya deni sasa limemkuta jirani. Tuwe makini na wakopeshaji hawa wanaoganga njaa kama uchina.
View attachment 1948738View attachment 1948739
Mwambieni Ndugai aliekuwa anashabikia ujenzi wa bandari ya bagamoyo!!Wajuzeni watu wa Pwani waelewe hilo, uongozi wa nchi sio ngoma za mkole.