CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Chawa wa chura kiziwi na chawa wa dhalim mnakwaruzanaWivu na chuki binafsi ndio vinavyokusumbua sana wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa wa chura kiziwi na chawa wa dhalim mnakwaruzanaWivu na chuki binafsi ndio vinavyokusumbua sana wewe
Hii Chadema ndiyo inawafanya mnaenda chooni maana bila kuitaja hamlipwi, pumbavu zenu.Utashangaa CHADEMA wananuna na kuchukia .maana akili zao wanazijuwa wao wenyewe.
Mimi siyo chawaChawa wa chura kiziwi na chawa wa dhalim mnakwaruzana
Kwani tumefanyiwa na nani yote haya yaonekanayo kama siyo sisi wenyewe watanzania?Kipi tunaweza kufanya wenyewe sasa?
Kwa hiyo unataka wasimuunge mkono Rais wetu Mpendwa kipenzi cha watanzania?Hao hao chini si ndio hutoa nguo za ccm?
Kuna gazeti limeandika china kugawa mitungi ya gesi ya majumbani kuunga juhudi za SSH.
CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo wanaotumia chama kuganga njaa.Hii Chadema ndiyo inawafanya mnaenda chooni maana bila kuitaja hamlipwi, pumbavu zenu.
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendeleza utawala wao wa kidhalimu.CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo wanaotumia chama kuganga njaa.
Chawa mbobevu wewe.Mimi siyo chawa
Mimi ni msema kweli na mzalendo wa kweli.Chawa mbobevu wewe.
Wewe ni mganga njaa unayetegemea kutupiwa makombo tu huna lolote.Mimi ni msema kweli na mzalendo wa kweli.
Sina Imani na serikali yanguWaziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru China kwa kufikia hatua za mwisho za kufadhili ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR ambao unaendelea hivi sasa kwa kipande cha tano cha kuanzia Mwanza hadi Isaka na kuahidi kuyafanyia kazi maombi mengine ya kipande cha sita kinachoanzia Tabora hadi Kigoma.
Dkt. Nchemba ameyasema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China hapa Nchini, Chen Mingjian, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu ya ushirikiano kati ya China na Tanzania uliodumu kwa miaka 60 sasa.
Pia, soma: Kwanini ujenzi wa SGR hapa Mwanza umesimama?
Dkt. Nchemba amesema kuwa Mradi wa Reli ya Kisasa ni muhimu kwa uchumi na maendeleo ya Watanzania na kwamba ujumbe wa Balozi Chen kwamba China kupitia Taasisi zake inakamilisha taratibu za ndani za kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa reli hiyo umepokelewa kwa mikono miwili na Serikali.
Kwa upande wake, Balozi wa China hapa Nchini, Chen Mingjian, amesema kuwa Nchi yake inauchukulia uhusiano wake na Tanzania kuwa ni wa kipekee na kwamba maelekezo ya Kiongozi wa nchi hiyo Mheshimiwa XI Jinping ni kwamba anataka uhusiano huo uwe wa mfano na kielelezo Afrika.
Amesisitiza kuwa maombi ya Tanzania ya kupata fedha kwa ajili ya kipande cha tano na mengine ya kutaka ufadhili wa ujenzi wa kipande cha 6 yamepokelewa na kwamba uamuzi wake utatolewa hivi karibu baada ya mambo machache yanayofanyiwakazi kukamilika.
Amesema mpango wa miaka mitatu wa China wa ushirikiano kati yake na nchi za Afrika (FOCAC), umeitengea Tanzania kiasi kikubwa cha fedha ambazo zitaelekezwa katika miradi inayogusa masuala ya uchumi wa kijani, biashara na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT).
View attachment 3119766
Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian, akiwa na ujumbe kutoka ubalozi wa china nchini, wakimsikiliza Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani), wakati wa kikao kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu ya ushirikiano kati ya China na Tanzania uliodumu kwa miaka 60 sasa. Kushoto ni Bw. Chu Kun na kulia ni Katibu wa Balozi, Bi. Ma Shukun.
Serikali yetu inaaminika na mamilioni ya watanzaniaSina Imani na serikali yangu
Mimi ni mkulima na siyo mganga njaa kama lile genge linalojiita CHADEMAWewe ni mganga njaa unayetegemea kutupiwa makombo tu huna lolote.
Wewe mganga njaa tu, unajitoa ufahamu kiasi hiki ili uonwe lakini ulivyo na kimavi hata hawakuoni.Mimi ni mkulima na siyo mganga njaa kama lile genge linalojiita CHADEMA
Mbona waTz mnataka kucheza na akili zetu sana nyie?Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru China kwa kufikia hatua za mwisho za kufadhili ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR ambao unaendelea hivi sasa kwa kipande cha tano cha kuanzia Mwanza hadi Isaka na kuahidi kuyafanyia kazi maombi mengine ya kipande cha sita kinachoanzia Tabora hadi Kigoma.