JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
China inatarajia kutuma baadhi ya Wanajeshi wake kwenda Urusi kwa ajili ya kufanya mazoezi ya pamoja ya Kijeshi kuanzia Agosti 30 hadi Septemba 5, 2022.
Mazoezi hayo pia yatahusisha Wanajeshi kutoka Nchi za India, Belarus, Mongolia, Tajikistan na nyingine kadhaa.
Aidha, China imekuwa ikiiunga mkono Urusi licha ya kuwekewa vikwazo na Marekani na Nchi kadhaa za Ulaya wakati huu ambapo kuna vita ya Urusi na Ukraine.
Mazoezi hayo yatafanyika wakati uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Marekani na China ukiwa umelegalea kama ilivyo kwa Urusi na Marekani.
==============
China to send troops to Russia for joint military exercise
Chinese troops will travel to Russia to take part in joint military exercises led by the host and including India, Belarus, Mongolia, Tajikistan and other countries, China’s defense ministry said Wednesday.
China’s participation in the joint exercises was “unrelated to the current international and regional situation,” the ministry said in a statement.
Last month, Moscow announced plans to hold “Vostok” (East) exercises from Aug. 30 to Sept. 5, even as it wages a costly war in Ukraine. It said at the time that some foreign forces would participate, without naming them.
Its last such exercises took place in 2018, when China took part for the first time.
Source: Nbcnews