Ukianza na poor au low ushafaulu na tunakusubir uwe profesa wetu.point ni zilezile tu
Land alienation
Low wages
Poor facilities
na bla bla bla kibao
Kuwa na kundi kubwa la wajinga, kuelimika kwa kiasi, wasomi wengi ni headache unajua?Au project kuu ni kuandaa machawa
Ni kutembea na concept tu! 🤸🏽♀️Ukianza na poor au low ushafaulu na tunakusubir uwe profesa wetu.
Hivi meli sio all weather!?Point iko hapa island designed for all weather
China imeendelea sana kwenye teknolojia hapa kuna sababu kuu:Ngoja nimwite rais wa China mwenyewe Xi Jinping au rais mstaafu wa China Hu Jintao ili watupe maelezo zaidi.