Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imasemekana Jamaa Yuko hai Anaendelea Vizuri.Hipo confirmed mkuu? Habari hii haina huakika lakini pia bado nadhani North Korea watakuwa na nguvu kwa vile mara nyingi kuna mtu wamemuandaa kuchukua nafasi.
Hii ni habari mpya toka Japan kuhusu Virusi vya CORONA. Professor wa kijapan Mr Tasuku Honjo amethibitisha kuwa Covic-19 imetengenezwa na Wachina kwa malengo Maalumu..!!. Soma mwenyewe:
* SHOCKING * ⤵
The Japanese professor of physiology or medicine, Professor Dr Tasuku Honjo, caused a sensation today in the media by saying that the corona virus is not natural. if it is natural, it will not have affected the whole world like that. Because, depending on the nature, the temperature is different in different countries. if it were natural, it would only have affected countries with the same temperature as China. instead, it spreads to a country like Switzerland, the same way it spreads to desert areas. whereas if it were natural, it would have spread in cold places, but would have died in hot places. I have done 40 years of research on animals and viruses. It is not natural. It is manufactured and the virus is completely artificial. I have been working for 4 years in the Wuhan laboratory in China. I know all the staff of this laboratory well. I called them all after the Corona accident. but, all of their phones have been dead for 3 months. It is now understood that all of these laboratory technicians are dead.
Based on all of my knowledge and research to date, I can say this with 100% confidence that Corona is not natural. It did not come from bats. China made it. if what I say today turns out to be false now or even after I die, the government can withdraw my Nobel Prize. but China is lying and this truth will one day be revealed to all.
Tasuku Honjo - Wikipedia
Fikiria uzembe unaofanywa na serekali hii ya nchi yako juu ya huu ugonjwa hata baada ya kuona kilichowapata wengine ambao waliudharau kama Italy na Equador. Achana na propaganda za wamarekaniWana JF,
Janga la Covid-19 lilianzia nchini China katika mji wa Wuhan-Hubei Province mwezi Desemba 2019!
Mpaka leo Taifa la China halijaweka hadharani nini hasa kilitokea kwenye Maabara za WUHAN Institute of Vilorogy(WIV) hadi kupelekea mlipuko huu wa Covid-19.
China imeshakiri kuwa kabla ya mlipuko kulikuwa na Utafiti wa Virusi ulikuwa ukifanyika kwene Chuo hicho cha WUHAN (WIV) na inasemekana kuwa Virusi walivokuwa wanavifanyia uchunguzi ni pamoja na SARS-COV-2 vinavofanana na COVID-19! Mpaka hivi sasa kuna dhana(speculations) nyingi zinasemwa kuhusiana na mlipuko huu:
Hapa kuna hoja za msingi zinazofokirisha . Lakini pia kuna hoja ya kwanini baada ya mlipuko huu Serikali ya China iliruhusu Covid-19 ISAMBAE DUNIA NZIMA lakini wakazuia kusambaa kwa COVID-19 kwenye majimbo na miji mengine ya China kama vile Shanghai,Shenzhen,Ghwanzhou,n.k.
- Kirusi Cha Covid-19 kilitokea na tabia ya Wachina kula soup ya Popo(Chinese Bat Soup).
- Kwamba katika uchunguzwa wa SARS-COV-2 inawezekana Kuna UZEMBE ulifanyika na kupelekea kirusi hiki kikatoka kwa Popo,nyoka au ngiruwe na kuingia kwa binadamu.
- Kwamba kwa maksudi Wataalamu wa WIV kwa kutumia Genetic engineering walikifanyia utaalamu kirusi Cha SARS-Cov-2 na kutengeneza Covid-19 kama silaha ya Kibailojia (Biological weapons) kwa Mataifa mengine hasidi Kiuchumi na kijeshi.
Lakini pia mara tu baada ya China kuhakikisha kuwa Kirusi Cha Covic-19 kimesambaa na kimefika nchi za Ulaya na Marekani, Wachina wakatangaza kuidhibiti Covid-19 nchini kwao na mpaka sasa HAKUNA MAAMBUKIZI WALA VIFO vya Covid-19 nchini China!!!Hapa iko namna!!
Kwa hesabu za maambukizi pamoja na vifo nchini China ilifikia takribani vifo 3400 tu(not confirmed, it can be less than that) Lakini ukija kuangalia nchi ambazo zimeambukizwa(pelekewa Virusi vya Covid-19, vifo ni kwa makumi maelfu! Marekani mpaka sasa Kuna vifo 24,000, Italy-Vifo12,000; Spain 14,000; etc.
Wachina ndiyo waloanzisha mfumo wa Lockdown nchini kwao wakijua kabisa mfumo huo utakwenda kutumika kwa nchi zote na kuvuruga Uchumi wa Dunia nzima na hasa Wapinzani wso Kiuchumi nchi ya Marekani na zingine za Ulaya!
Marekani tayari kesha mlalamikia China na W.H.O kwa UZEMBE huu! Inavoonekana Kuna uhusiano fulani wa Serikali ya China na Shirika la Afya Duniani(W.H.O) kwa KUSHINDWA kuisimamia China kuzuia maambukizi haya kwa muda mwafaka.
Hata baada ya Marekani kujiondoa kwene ufadhili wa WHO kwa kiasi Cha 100m+ USD, China haraka Sana ime inject kiasi Cha 30m USD!!
Nihitimishe kwa kusema kwamba ni wakti wa nchi na Jumuia zote za Kimataifa, Kikanda na Kijamii kupiga kelele,kuhoji kuchunguza na kupata su kupewa majibu sahihi kuhusu Nini kilitokea WUHAN. Iwapo China haitatoa majibu sahihi ya kueleweka basi Umoja wa Mataifa(UN)kupitia Baraza la Usalama la iunde Tume kwenda kuchunguza nchini China chini ya kipengele Cha Nchi yeyote kujihusisha na SILAHA ZA MAANGAMIZI IKIWEMO SILAHA ZA KIBAILOJIA.
Tujadili.
Fikiria uzembe unaofanywa na serekali hii ya nchi yako juu ya huu ugonjwa hata baada ya kuona kilichowapata wengine ambao waliudharau kama Italy na Equador. Achana na propaganda za wamarekani:
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachina ni binadamu kama tulivyo sisi, ni kwama wanapakaziwa na adui wao mmarekani ili achukiwe. Muache mmarekani apambane na huyo adui yake! Asikuchagulie adui. Ni mmarekani anaye muogopa mchina. Ugomvi wao usiigilie - we jaribu kujikinga na hili gonjwa, nyungu kwa wingi.Wachina sio bin-adamu lazima walaaniwe kwa nguvu zote!
Wachina ni binadamu kama tulivyo sisi, ni kwama wanapakaziwa na adui wao mmarekani ili achukiwe. Muache mmarekani apambane na huyo adui yake! Asikuchagulie adui. Ni mmarekani anaye muogopa mchina. Ugomvi wao usiigilie - we jaribu kujikinga na hili gonjwa, nyungu kwa wingi.